Nassari, Lema wadai kutishiwa kifo

Hizi ni propaganda za CHADEMA tu ili waonewe huruma........ kwani wameanza kushinda majimbo mwaka huu?? mbona wabunge wao wote wapo hai??? suala la kuuawa kiongozi wa chama, hata CCM aliuliwa mwenyekiti wa wilaya kule mbeya hivi karibuni, je? CHADEMA ndio walimuua?? suala la kuuana arusha halijaanza leo
huruma ya wapi, utakuwa umelewa wakat unajibu hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom