shiteterande
Member
- May 31, 2013
- 15
- 2
Mhe. Joshua Nassari leo amefanyiwa CT - Scan kutokana na kipigo alicho kipata kutoka kwa Green Guard(CCM) mbele ya jeshi la polisi, alipokuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi mdogo kata ya Makuyuni wilayani Monduli..
View attachment 98056Mhe. Joshua Nassari akiwa Hospitali ya selian - 17/06/2013View attachment 98059
Imefahamika hali ya Nassari si nzuri kunauwezekano akaenda KCMC. tafadhali kama kunamtu anaweza kutujuza zaidi kuhusu hili.

Kuna mtu jana hapa JF. walipoleta taarifa ya kuumizwa vibaya bila hata kufikiri kwa kina akasema nassari amezidi umama huenda kakwaruzwa tu kidogo analalamika! Anyway tunamuombea apone haraka!
Hapo bado kuna watu watakuja na kejeli zao. CCM inabidi wajue tuwa utu una dhamani kuliko pesa
Acha ujinga na ondoa uchafu wako hapa.Tumetoka kumuona muda si mrefu na kwa maelezo ya daktari anayemtibu katika hopitali ya Selin hana hata mchubuko wala jeraha licha ya kuwa yeye anasema anaumia sana
.........kwa nini KCMC na Sio South Africa au India??????????