Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

Nassari njo ukanushe kama siyo wewe..but kama ni wewe basi unamambo ya kitotot...ivi unakumbuka watu wangapi walipoteza maisha Arusha kwa mpango wa Mwigulu..Mwigulu anatafuta popularity tu
 
Khaa kwa hili kama ni kweli yeyote bila kujali ni nani aliyevujisha amepotoka sana na ni mambo ambayo mwanaume aliyetahi.riwa hatakiwi kufanya.
 
Hata kama ni kweli aliandikiwa hiki kimemo. Hakuwa na haja ya kukiweka hadharani.
huyu mtoto kumbe hana kifua kipana.

Kutaka kumfunga Rwakatare kwa kesi ya ugaidi bado iko kwenye mioyo ya wengi. Huyu mtu hawezi kuwa msafi kama mnavyo piga porojo! Akisema hadahrani kuwa ashikwe na kufunguliwa mashitaka yule aliyemuua mwanahabari kule IRINGA basi nitaanza kumuuamini ndugu yenu mwigulu. Huyu jamaa anataka kusahau damu ambazo zimemwagika kwa kampeni yake? Ama kweli nchi yngu Tanzania!
 
:alien::alien::alien: MNA HAKIKA GANI KUWA NASSARI NDIO AMEWEKA HAPA HII KITU? HII SI NI SCREENSHOT AMBAYO HATA WALE MESENJA MLE BUNGENI WANAWEZA KUPIGA NA SIMU ZAO NA KULETA HAPA?
 
Mbona Mwigulu kawa mwema tena kaandika point kweli huyu Mungu kambadilisha kawa mpya kweli na huyo aliyeweka hicho kimemo ana mambo ya kimbea na kike kike
 
Kabla ya kupromosha matusi na kejeli ni vizuri mtu akajiuliza ukweli wa hicho kimemo.Wabunge wote bunge alafu Mwigulu amwandike Memo Nassari asiyekuwa hata sehemu ya PAC?.
Haya ni makandokando ya kuanza kupakazia.

Mwigulu aliweka msimamo wake wazi bila kigugumizi ,hivyo hakukuwa na haja ya kuwandikia memo watu- huu ni uzushi.
 
Hiki hapa ni Kimemo kilichotoka kwa Mwigulu kwenda kwa Mbunge wa Arumeru wakati wa sakata la Escrow.
attachment.php

Hana lolote huyu. Amepelekwa hapo wizarani kwa kazi maalumu. Ngoja tusubiri kushuhudia EPA nyingine, si uchaguzi unakuja??
 
Kwenye uzi wangu huu, Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!. pia nilizungumzia ma ignorants tulionao bungeni, mambo ya kike kike, na mambo ya utoto utoto, childlessness nayo ni ignorance tuu!.

Pasco
Pasco hapa bado kuna jambo liko gizani. Hivi fedha ya wizi inahitajika kulipiwa kodi? Na jee kodi ikilipwa ndio hadhithi imeisha? Kwa nini tusiziridishe hizo pesa? Maana bado inanitatiza kuita fedha zile ni za wizi halafu kuzidai kodi. Ok kodi inaweza kulipwa na hao watu then what? Unamuamuruje mtu arudishe fedha aliyoilipia kodi tayari kwa vile ulishaihalalisha?
Hapa naona Mwigulu kacheza na akili za watu ili kuwa win kuwa yeye ni mtu safi na ( mind you huyo ni Naibu Katibu mkuu wa Chama) hivyo msimamo wake ndio wa chama.
Hapa kuna mawili, kodi inaweza kukusanywa tena yote na fedha zingine zikapotea jumla au pesa zikusanywe na kurudishwa halafu hakuna cha hiyo kodi anayoisema Mwigulu.
 
Last edited by a moderator:
----- wewe.... Hujui hata siri mana yake nn
Imekuuma eeeh? Kenge wewe
akili ya Nassar haina tofauti na wewe
matusi sasa ya nini?
huyo jamaa yako alishataka kuitenga Nchi yetu ili Meru (Kilimanjaro Manyara na Arusha) ili iwe Nchi
aliwashawishi vijana wa Arusha muandamane kwa miguu hadi Ikulu DSM
Kama sio Freeman kukanusha na kumshushua sijui hicho chama kingeelewekaje
huwezi kutoa vimemo ulivyotumiwa ukavi Publicise km zile picha zake za Honeymoon kwenye mitadao
MKIKUA MTAACHA
 
Hatutaki kuchukua kodi kwenye pesa haramu kama mnamuunga mkono Mwigulu kwanini Bunge limeazimia kuitanga bank

zilizojihusisha na mimala ya escrow kama watakatishaji wa fedha huko ni kuamisha na kuliua hili zali kwamba tatizo ni

kodi tu haijakatwa bali mengineyo yote yaliyotokea ni sawa na ni halali. Pathetic

Nafikiri huelewi maana ya money laundering in short ni illegal obtained money na side effects ni kuwa imekwepa kodi so ni haki kodi ikatwe pale
 
Hichi kimemo angeweka na asingeweka pia ni sawa, Wengi sasaivi tunamfahamu Mwigulu anelekea kuwa mtu makini kwenye serikali nimependa alivyotoa amri moja kwa moja bungeni lakini Pinda kwanza afanye mashauri na hatekelezi yupo yupo tu
 
Mommy...! Nashindwa hata KY Changi, kwani Nassari nampenda kwa chama Lake, na Mwigulu namfagiria kwa points na ujasiri wake. Sasa sijui ilikuaje mpaka ikafikia mmoja kuandika na mwingine kutoa had Hawaii! Mmm... Mi sijui lkn mpaka Sasa Mwigulu hatimaye atatoka shujaa ktk Hilo kwani sio mnafiki vile kilicho Kwenye memo ndicho alicho toa mjengoni mbele ya mabosi wake Kukazi na kichama.
 
Nafikiri huelewi maana ya money laundering in short ni illegal obtained money na side effects ni kuwa imekwepa kodi so ni haki kodi ikatwe pale
Sa kwani me nimeandikaje au unaona vice versa nisome kwa mara ya pili then linganisha na kimemo cha Mwigulu then turn back to the argument.
 
Mwigulu sasa anaonekana kuenenda katika interest za upinzania lakini napata shaka imani hii kwake imetokea wapi alhali alishawekwa kwenye orodha ya magaidi waliokuwa wanapanga mikakati ya kuwaua wapinzani? Kwa nini imani hii chanya kwake?
 
Kila siku nasema humu kuwa Joshua nassry arumeru mashariki wananchi walifanya makosa wasije rudia mwakani.
Nasari ni kati ya wabunge waropokaji wasiopima maarifa yao kwanza
 
Back
Top Bottom