Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

Upuuzi tu. Nilikuwa simkubali Mwigulu, lakini kwa sasa anafanya watanzania watakacho. Sasa Nassari kama kweli alipewa memo hiyo, kuna umuhimu wowote wa kuitoa public. Labda awe mjinga tu.

Labda Nassari anataka kwenda CCM kuumgana na Mwigulu
 
Nafikiri huelewi maana ya money laundering in short ni illegal obtained money na side effects ni kuwa imekwepa kodi so ni haki kodi ikatwe pale
Hivi uko sawa kweli hela ya escrow imechunguzwa na TRA CAG TAKUKURU na wote wameprove kwamba mchakato

mzima kuanzia uanzishwaji mauziano ya hisa na ulipwaji kodi umekiukwa kwa kiwango chote then leo waje kulifinalize kwa simple claim tu kwamba ni kodi tu haijalipwa.

na kilichokuwa kikichunguzwa kwenye escrow sio uhalali wa pesa tu ni mambo mapana na hata kama ingekuwa ni uhalali wa pesa tu bado procedures za kushughulikia sio kuwataka walipe kodi tu bali na adhabu ichukue mkondo wake maana yake wangetakiwa kupelekwa mahakamani kwa Money Laundering. kwa mujibu wa sheria za ant-money-laundering concerned .
 
huu ni ujinga kabisa!!! mijitu mingine ingebaki kukimbizana na mi ng'ombe huko kaskazini.
 
Msianze kumlaumu nasari hizi ni siasa chafu..alioweka ni anayetaka kuonekana kua naye alikua kwenye kundi la wapinga ufisadi ili kujitengenezea njia..wake up guys..muwe mnatafakari mnapodoma post kabla ya kuchangia...kwa namna ujumbe ulivyo kulikua hakuna sababu kwa nasari kuwrka paplic
 
Mbona hakijaandikwa siri???? ni kwamba Nassari alimuandikia Mwigulu akijaribu kubembeleza mtu wake au watu wake wasamehewe kodi ndipo Mheshimiwa Mwigulu jembe letu hakutafuna maneno akamjibu moja kwa moja
Hiki hapa ni Kimemo kilichotoka kwa Mwigulu kwenda kwa Mbunge wa Arumeru wakati wa sakata la Escrow.
attachment.php
 
Sijapenda hii kitu kabisa, kama ni Nassari ndo kakitoa kwa kweli sijapenda, siku nyingine hutaaminika kabisa.
 
Hata mimi naweza andika hivyo nikapiga picha na kuweka hapa kwa malengo Mahsusi.
Hii kitu feki kwa minaajili ya kumtusi Nassari....
Ngashtukaaa...
 
Nassari umeweka hii memo public ili iweje? Ni kitu gani huyu Mwigulu ameandika ambacho ni cha kukufanya uweke hii memo hapa? Looks childish! Kwa sasa namkubali Mwigulu baada ya kupoteza imani kwake hapo cku za nyuma.

Mbona umepanic kuliko mhusika?eeehhh unatupa mashaka maana povu limekutoka kweli.
 
Hiki hapa ni Kimemo kilichotoka kwa Mwigulu kwenda kwa Mbunge wa Arumeru wakati wa sakata la Escrow.
attachment.php

shule nayo ni muhimu nasari si muda muafaka kazi imeshafanyika akuna umaarufu juu ya escrow kama ukupata kuchangia mwache mgwigulu na msimamo wake ....more than childish

cc:MBOWEE.DK SILAA,MNYIKA,ZITOO.K
 
Mbona Mwigulu kawa mwema tena kaandika point kweli huyu Mungu kambadilisha kawa mpya kweli na huyo aliyeweka hicho kimemo ana mambo ya kimbea na kike kike
Hivi nyie kina Pasco, laki si pesa na wengine mnaosema "mambo ya kike" hivi mama zenu ndiyo wanafanya mambo ya kipumbavu halafu mnadhani wanawake wote wanafanya hivyo? Kuweni na heshima kwa mama, dada, shangazi na bibi zenu. Mumhukumu mtu kwa pumba zake na siyo kusema wasiohusika.
 
Last edited by a moderator:
pamoja na kwamba siwapendi ccm ila Nassary ameonyesha immaturity kwenye uongoz na utu uzima kwa ujumla,,,,

CDM wawe makini pia wakati wa vikao vyao vya ndani,,,
 
Inawezekana kaweka kumsapoti Mwigulu na kudhihirisha jamaa alidhamiria aliyoyatamka,inawezekana ni marafiki,ila km amekiweka kwa nia nyingine,mdogo wangu huyu atakuwa mjinga!
 
cha ajabu ni kipi hapo?
Mbona kafanya jambo jema kumpa baadhi ya points.?
Napata wasiwasi
 
Why Nasari na si mbunge mwingine wa ukawa? Naomba jibu ndo nitachangia.
 
Back
Top Bottom