funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,162
- 31,716
Kuna kanuni inayokataza taa kuwekwa kwenye barabara ya vumbi?Kama vile ambavyo chato wanahitaji mataa kwenye barabara za vumbi
Kuna kanuni inayokataza taa kuwekwa kwenye barabara ya vumbi?Kama vile ambavyo chato wanahitaji mataa kwenye barabara za vumbi
Hebu njoo Tumbi hospital kilometer chache tu uone kilichopo halafu uniambie hayo mabilioni yameenda wapiNdege ni kwa manufaa ya nchi kiuchumi...CD ina manufaa gani?
Bajeti ya dawa imepanda kutoka b30 hadi b256 na zinafika !!
Asilimia zaidi 60 kwa sasa wanapata maji safi na salama ....kuna miradi mikubwa imezinduliwa hivi karibuni mfano longido,Sengerema na Kibaha...usijidai umesahau.
Nyie endeleeni na usanii wa bongo movie wakati CCM Inaleta maendeleo
Alafu nawe utaje majina 10 ya teuzi za bwana mkubwa 8 wanatokea kanda gani?nitajie viongozi 10 ndani ya chadema 6 ni wachaga, je kuna ukabila mkubwa kuliko huuu???
wewe vipi??? elimu ya chuo kikuu ni elimu ya ziada, huduma za hospitali zinaendelea kuboreshwa (tafuta rejea) tafuteni sera, mbona swala la mafisadi na madini hamusemi??? tutaendelea kuwaletea MADUMEUnaenda kununua ndege za mabilioni wakati wanachuo wanakosa mikopo chuoni, hospital hazina dawa na vifaa tiba vya kutosha, maji safi na salama ni kitendawili kwa wengi... Ama kweli kupanga ni kuchagua
Kwajili ya kuongozea punda!Kuna kanuni inayokataza taa kuwekwa kwenye barabara ya vumbi?
CCM huwa haichaguliwi bali hufanya uchakachuaji na wizi wa kura hapo labda chadema wabuni mbinu ya kutengua mitego ya uchakachuaji wa CCMHizi akili mkaa? CD 500 ni pesa nyingi kwanini asifanye jambo la maendeleo ili wananchi wawachague Chedema kwa mazuri yao? Akili zingine bhana haya TUTACHAGUA CCM hadi mtakapo badilika.
Nitajie dawa au vifaa tiba ulivyovikosa Tumbi...Hebu njoo Tumbi hospital kilometer chache tu uone kilichopo halafu uniambie hayo mabilioni yameenda wapi
ulitaka watoke wapi?? mbowe mkwe wa mtei, Bob makani shemeji wa mtei, hao ndo waliowahi kuwa viongozi chadema, sasa unaposema ukabila na ukanda, anza na mbowe na CHADEMAAlafu nawe utaje majina 10 ya teuzi za bwana mkubwa 8 wanatokea kanda gani?
Sio lazima ukomenti kila kitu hata kama uwezo wako wa kulinki issues ni finyu! Ulitegemea awape vipesa wakanunue mkate? Hao waliokosa mkate leo ni matokeo ya mfumo unaonunua madiwani badala ya establish development perojects!View attachment 633648 Unagawa CD kwa wananchi wanaohitaji mkate?Kweli Nassari kaishiwa hoja.
Nimekuuliza je kuna kanuni inayokataza taa za kuongozea watumiaji wa barabara kujengwa kwenye barabara ya vumbi?Kwajili ya kuongozea punda!
Halafu kilomita chache tu hospitali haina dawa.....
mwanao bora arithi akili za bibi yake mzaa mama yake sio zako
CHADEMA ni kikundi cha wanaharakati. CHADEMA kingekuwa chama kingekuwa na ITIKADI.View attachment 633640
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari amemnadi kitofauti mgombea udiwani wa Kata ya Ambureni, Dominick Mollel kwa kugawa CD anazodai zinaonyesha baadhi ya madiwani wa chama hicho wilayani Arumeru walivyoshawishiwa kupokea rushwa.
Nassari aligawa zaidi ya nakala 500 katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Kwa Pole wilayani hapa huku akiwataka wananchi kutowachagua wagombea wa CCM kwa kudai baadhi yao wanatuhumiwa kupokea rushwa.
Nassari amefafanua kwamba pamoja na kuwasilisha ushahidi wake Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ameamua kugawa nakala hizo kuwafungua macho wananchi waelewe kwamba wagombea kutoka CCM hawafai.
Akizungumzia kitendo cha baadhi ya wagombea wa CCM kutoa ahadi ya kuyakomboa baadhi ya mashamba yaliyotwaliwa na wawekezaji wilayani humo, Nassari amesema kwamba wakati hao wanatoa ahadi jukwaani wao wataingia shambani kudai haki.
“Wakati wao wanaahidi kushughulika na nyaraka sisi watatukuta shambani tunaendelea na kazi sawa,” alisema Nassari.
Njoo kesho tushinde pale ujioneeNitajie dawa au vifaa tiba ulivyovikosa Tumbi...
Wewe kutwa uko mochwari mambo ya madawa utayajuaje?Njoo kesho tushinde pale ujionee
Hizi akili mkaa? CD 500 ni pesa nyingi kwanini asifanye jambo la maendeleo ili wananchi wawachague Chedema kwa mazuri yao? Akili zingine bhana haya TUTACHAGUA CCM hadi mtakapo badilika.
Nayajua kwakuwa maiti zinaongezeka njoo uone na mazingira ya kazi yetu utapata mwanga zaidiWewe kutwa uko mochwari mambo ya madawa utayajuaje?
Nayajua kwakuwa maiti zinaongezeka njoo uone na mazingira ya kazi yetu utapata mwanga zaidiWewe kutwa uko mochwari mambo ya madawa utayajuaje?
Ndege ni kwa manufaa ya nchi kiuchumi...CD ina manufaa gani?
Bajeti ya dawa imepanda kutoka b30 hadi b256 na zinafika !!
Asilimia zaidi 60 kwa sasa wanapata maji safi na salama ....kuna miradi mikubwa imezinduliwa hivi karibuni mfano longido,Sengerema na Kibaha...usijidai umesahau.
Nyie endeleeni na usanii wa bongo movie wakati CCM Inaleta maendeleo
Kunguni anatoa harufu mbaya bora umbadilishie jina la mdudu mwingineMeru sio chato wewe kunguni!! Chato ndo wanahitaji mkate Meru walishaamka siku nyingi mkate sio ishu kwao.
Umeona payroll za November mkuu? Kuna chochote kimeongezeka huko upande wenu?ulitaka watoke wapi?? mbowe mkwe wa mtei, Bob makani shemeji wa mtei, hao ndo waliowahi kuwa viongozi chadema, sasa unaposema ukabila na ukanda, anza na mbowe na CHADEMA