"Husipotoshe" hahahaaaa rudi shule kwanzaumejazwa maneno ya uongo, hata hiyo barabara ya chato huijui. HUSIPOTOSHE WATU
Hakika. Meru tulisha wahi kumtuma Mtu Umoja wa Mataifa kuwakilisha hoja ya Ardhi, kabla ya uhuru wa Tanganyika!Meru sio chato wewe kunguni!! Chato ndo wanahitaji mkate Meru walishaamka siku nyingi
hahahaMeru sio chato wewe kunguni!! Chato ndo wanahitaji mkate Meru walishaamka siku nyingi mkate sio ishu kwao.
acha ubwege ndugu, taa za barabarani zinawekwa na halmashauri sio serikali kuu.Ukabila upo chato mlikoweka taa za barabarani ziongoze ng'ombe
thamani ya izo cdni kama 500x500=250,000.Si hizo hela za CD zitumiwe kuleta maendeleo?!