Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

Ccm tushaitupa kwenye [emoji706]kitambo sema wachache ndiyo ameiangamiza haki yetu tutakomaanao tu.!
 
walionunu madiwani kwa pesa za umaa na kutumia mamilioni kurudia uchaguzi na kupandishwa vyeo hiyo ndio akili?
Hapo ndo Chadema wanachemka mno! Kulipiza ubovu Kwa ubovu haifai, kwakuwa wao CCM walinunua na nyie pia mmeamua kufanya mule mule aisee bado tutaendelea kuchagua CCM tu mpaka mtakapo amua kuwa na mawazo Chanya!

Huwez kataa kula "wali" mbaya CCM ukakimbilia CHADEMA ambapo "wali" ni ule ule mbaya na usiofaaa!

CHADEMA AMKENI JAMAN tunawataka sana muongoze ila kwa akili hizi za kindezi mtabakia kulialia tu
 
Swala liko mikononi mwa vyombo vya sheria kalipeleka mwenyewe.Huko si ni kuingilia vyombo vya sheria?
Siyo kuingilia, anataka watu waone double standards zinazotumika kupambana na watu wanaotuhumiwa kutoa/ kupokea rushwa.
 
Hizi akili mkaa? CD 500 ni pesa nyingi kwanini asifanye jambo la maendeleo ili wananchi wawachague Chedema kwa mazuri yao? Akili zingine bhana haya TUTACHAGUA CCM hadi mtakapo badilika.
Angeweza kulipia kaya 25 bima ya afya inayoitwa CHF na wakafaidika na huduma za afya mwaka mzima.yeye anagawa CD KWA WATU 500 ambao hawana Sehemu ya kuzicheza....lini atawagawia deki??
 
Dawa ya CCM ni kuwashitaki kwa wananchi; hiyo ndiyo dawa pekee, kwenda kwingine ni kujichosha tu.
 
Angeweza kulipia kaya 25 bima ya afya inayoitwa CHF na wakafaidika na huduma za afya mwaka mzima.yeye anagawa CD KWA WATU 500 ambao hawana Sehemu ya kuzicheza
Hayo ndo tunataka tuyaone chadema ili tuwachague
 
Unaenda kununua ndege za mabilioni wakati wanachuo wanakosa mikopo chuoni, hospital hazina dawa na vifaa tiba vya kutosha, maji safi na salama ni kitendawili kwa wengi... Ama kweli kupanga ni kuchagua
Ndege ni kwa manufaa ya nchi kiuchumi...CD ina manufaa gani?

Bajeti ya dawa imepanda kutoka b30 hadi b256 na zinafika !!

Asilimia zaidi 60 kwa sasa wanapata maji safi na salama ....kuna miradi mikubwa imezinduliwa hivi karibuni mfano longido,Sengerema na Kibaha...usijidai umesahau.

Nyie endeleeni na usanii wa bongo movie wakati CCM Inaleta maendeleo
 
Back
Top Bottom