Nasra Mohamed: Ukatili na unyanyasaji uliovuka mipaka!

Hivi ni kwa nini asilimia kubwa ya watu wa mkoa wa Mara ni wakatili??is it just nature au kuna sababu nyingine inayowapelekea wao kuwa hivyo?
 
Hili ni mojawapo ya matatizo ya kuwa muaminifu 100% kwenye ndoa, inapotokea mwenzako ame-cheat huwa inauma vibaya mno. Huyo mama inawezekana alikuwa muaminifu mno, hivyo baada ya kugundua mme wake amem-cheat akachanganyikiwa akawa anajaribu kufanya kila maudhi ili mwanaume nae aumie kitu ambacho kimemletea matatizo mengine.
RIP Nasra.
 
R.I.P da Nasra na wewe mwanaume uliyefanya huu unyama utajibu siku ya mwisho na isitoshe hapo ulipo tayari unateseka na hii dahambi. wanawake tuna dispute kubwa sana juu ya mahusiano NI KUMWOMBA MUNGU ATUPE UFAHAMU WA KUTAMBUA MAPEMA KUWA ULIENAE NI MNYAMA SIO BINADAMU.
 
Ni mita mia hamsini mdau,yaan huyu jamaa hajakamatwa hadi leo,wakat mkenya wa KOVA AMEKAMATWA?
 
Some people are alive just because it is illigal to kill them mtu Kama Huyu aifai kabisa kuitwa binadamu wa kawaida huyu ni shetani aisee!!!!! I complitly hate him!
 
Last edited by a moderator:
we r ol not perfect but ths guy is impafectooo........ God nimekuuthi plz niache niende na maisha yangu
 
kipi bora uolewe na tajiri utesekee au maskini upate furaha? kupanga ni kuchagua......dada zangu kuweni makini
 
jamani kusema kweli huyu jamaa anastahili adhabu kama aliyompa mke wake, yaani na yeye aburuzwe na gari vivyo hivyo! wanaume wa mkoa huu cjui tuko vp japo si wote, ukweli ni kwamba, ukosefu wa elimu ndio hasa tatizo linalo sababisha yote haya! rest in peace sister nasra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…