Nasikia nchi haina hela ndio maana mishahara hadi leo bado

Mbona sisi tunaounga juhudi za ndugu yetu hatulalamiki? Kwa hiyo mmeshaanza kuisoma?
 
Kwanini sasa unasema Nchi haina pesa? Serikali ilisema inaweza ikajiendesha miezi 6 pasipo kukusanya kodi na ikalipa kila mtumishi.
Huku mtaani ni taharuki imetanda, pesa zimepotea na raia wengi sana sana watumishi walishakopa dukani kwa mangi, kwa ahadi ya kurudisha tarehe 22 tu mishahara ikitoka.

Cha kushangaza hadi leo tatu bila na dukani kwa mangi hakuendeki tena.

Sijui tuishije sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Haina hela zimeenda wapi? Kwa hiyo korona ikikaa miezi mitano watumishi hawapati mishahara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom