Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 10,326
- 6,849
Uko sahihi kabisa, hakuna hela na ndiyo maana hata uchaguzi 2020 haupo, umeahirishwa mpaka mwaka 2025, hela hakunaHuku mtaani ni taharuki imetanda, pesa zimepotea na raia wengi sana sana watumishi walishakopa dukani kwa mangi, kwa ahadi ya kurudisha tarehe 22 tu mishahara ikitoka.
Cha kushangaza hadi leo tatu bila na dukani kwa mangi hakuendeki tena.
Sijui tuishije sasa
Sent using Jamii Forums mobile app