Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,252
- 34,202
Tokea tarehe 22 mwezi uliopita mpaka tarehe 22 mwezi huu... Ni siku ngapi? Au umekariri mwezi lazima uishie tarehe 30?Kumbuka tu, kuwa hata wafarhili wanojazilia bajeti ya Tanzania nao kwao wana majanga ya corona.
Endelea kusubiri au fanya kazi ambazo hazitakufanya usubiri mshahara.
Au kama unaona kuwa mshahara umechelewa (kumbuka tu kuwa hata mwisho wa mwezi haujafika) basi nenda mahakamani ukadai haki yako. Au kaa kimya mpaka mwezi uishe ndiyo uanze kupayuka.
Sasa huoni wewe ndiye unaye payuka?
Sent using Jamii Forums mobile app