DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.
Sasa tusiangushane.
Nasikia Mpango ndo anaingia Kama kocha mchezajiMzee wa bao la mkono ndo anaingia akamalize kazi 😂
Usichukulie serious saaaan. Japo ugomvi wa ile nchi huwa una amriwa kwa njia za ajabu sanaNani na chama gani funguka tu mkuu
VAR imekuwa ngumu Ila wapo wanafikiria wakiweka VAR watawezaje kuhamisha magoli.Na VAR imesha wekwa
C amesema anastaafu, amegoma 😂Nasikia Mpango ndo anaingia Kama kocha mchezaji
Mbona na wewe umeamuakutumia ID mpya hrbu leta yanayojiri huko ndaniNgoja tuone Kuna ID moja naijua vizuri nimeona ipo online imepotea mda na ilikuwa kazini huenda kazi finished
Kwa ccm ,imebaki na watu watatu tu, mmoja huyu namfahamu vizuri ,ni mkuu wa mkoa mahala ila sio P Mackonda , wa pili ni mzee wa makamu ila sio umri wa mzee Wasira, wa tatu huyu ni kidogo ni shida ,mzee pia ila sio umli wa mzee Wasira pia .Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.
Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.
[/QUOTDr?
Jaman hizi code mbona ngumu sana
Kuna nini huko ulimwenguni?
Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up.
Sasa tusiangushane.