Nashukuru kuwa hai

Pole sana ndg. Mshukuru mungu.
 
pole sana mkuu!!
ugua polepole na upone haraka!!
 

pole sana mkuu tunakuombea upone haraka, tuendeleze gurudumu la kuikomboa nchi yetu.
 
Pole sana..Mungu alikupigania! halafu hii tabia ya kugonga na kukimbia,,,
 
Pole kiongozi!

Hizi ajali nyie acheni tu......... kama hujawahi ipata, mshukuru sana Mungu wako.
 
Pole sana mkuu. Mshukuru mwenyeziMungu kwa kukuponya gari itapatikana nyingine. Nakutakia uponaji wa haraka.
 
Na washukuru wote.
Kwenye ajali nili ibiwa simu na jamaa aliye iba aliwapigia watu wengi kutumia simu
akiwaambie waende oysterbay polisi.Namshukuru ila nimepoteza contact zangu zote.
 

Pole sana mkuu!!! Duh ilikuwa mida gani kwa sababu mida ya jioni huwa kuna foleni sana na huyo jamaa asingeweza kukimbia kirahisi.
Any way hakuna mtu aliyeweza hata kushika namba zake? Police Oysterbay haiko mbali sana na eneo la tukio inamaana hawakusikia hata kishindo?
Pole sana!! inawezekana ni mtu alikuwa amekufuatilia kwa muda mrefu na kuna watu aliokuwa anawasiliana nao! Fanya uchunguzi dont take it for granted, may be it was a plot!
 
Reactions: tz1
Nashukuru kwa ushauri wako.
Kulikuwa hakuna foleni ,hata haikuchukuwa dakika tatu trafik alifika na break down.Na hakuna mtu aliejitokeza na namba ya gari,ila wana dai ni
Land rover ya kijani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…