Nashtuka sana nikipigiwa simu.

Hahahaha sijakopa mahali mkuu naogopa madeni kuliko kitu kingine
Hata mimi mkuu sikuhizi sipendi kabisa hata kuisikia simu yangu ikiwa inaita kabisa.. na huwa inanishtua pia.. ila sababu zake nazifahamu..
 
Hunawakika na ajira yako au pengine unamuogopa Sana bosi wako kwahyo kila simu ikiita unajuwa ni boss anaenda kukinukisha.
 
Dalili za pressure, nilikuwa na hilo tatizo, dr alinishauri nisiweke mlio kwenye simu, ni zaidi ya miaka 3 sijui milio ya simu ikoje, nakasirikaga tu nikiwa kwenye dala dala manake kuna simu za kichina milio yake acha kabisa
 
Hunawakika na ajira yako au pengine unamuogopa Sana bosi wako kwahyo kila simu ikiita unajuwa ni boss anaenda kukinukisha.
Huenda uko sahihi but where i work there is no such thing kumuogopa boss that's why i love my job
 
Hiyo Sim ni yawizi sasa kila ukipigiwa unajua tayari ume kamatwa Hahaaa, hasara za kununua Sim za mtaani.
 
Hata mimi mkuu sikuhizi sipendi kabisa hata kuisikia simu yangu ikiwa inaita kabisa.. na huwa inanishtua pia.. ila sababu zake nazifahamu..
Hizi majanga mkuu ila ndo hvo kazi zinatubana inabd tu uwe hewani na hajalishi weekend wala skukuu
 
Hiyo Sim ni yawizi sasa kila ukipigiwa unajua tayari ume kamatwa Hahaaa, hasara za kununua Sim za mtaani.
Sio masihara tatizo wabongo ndo hilo mtu ana matatizo and your making fun of them
 
usitumie simu. tumia sanduku la posta. kama bado lipo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…