Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 340
- 249
Asalam.
Wakuu tatizo langu nashtuka sana na ringtone ya simu yangu,yaan nikiskia tu imeita mi roho juu nashtuka hadi nahisi naweza kupata cardiac arrest baadae.
Nimejaribu kujikaza kwa muda lakini nimeshindwa,hapa nilipo simu yangu iko silent mode for the last few months lakini hili jambo bado tu linanitesa naweza sikia hata kwa simu ya mtu tofauti na yangu.
Naombeni msaada wenu wakuu nifanye nini kuepuka hili janga mtu unaweza kupotea hivihivi kizembe kabisa.