Usichoke kujaribu. Unatumia aina gani ya condom? maana kuna ambazo ni manati tu, wameweka kwenye box. Jaribu brand inayo julikana kama Durex na pia chukua the finest. itakua sawa tu. Uzuri wa condom ni ile security. Unauhakika you are getting pleasure and no bugs in it.
Alafu wakati wakuvaa/kuvishana hutakiwi kuacha kila kitu, unavaa/vika kama sox alafu ndio unarudilia shughuli...
just try and incorporate it in the foreplay...
NAshindwa kuwa explicit ila umenielewa. kama vipi twende PM nikueleze.
jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
Mh, mwee!Hili ni tatizo la wanaume wengi kwa kweli...si wewe peke yako. Ukweli ni kwamba, wanaume wanaotumia condom kwa kila tendo ni wachache sana, wengi anatumia mara moja mbili..halafu wanaacha. Mara nyingi hii hutokea baada ya kupima HIV na kuwa -ve, basi watu wanaona ya nini wakati wako salama....SI KWELI!
Kumipima HIV na kuwa na majibu -ve haina maana ndio milele utakuwa -ve, na ndhani ndio iwe sababu ya kuona umuhimu wa kujikinga zaidi, lakini hali si hivyo (tafiti nyingi zimeonyesha).
Kiukweli, condom haijatengenezwa ili upate raha ile ile kama mafno hujavaa condom, kazi yake ni kinga..hivyo unatakiwa u'sacrifice' kiasi fulani cha raha ili uwe salama...ukipenda nyama kwa nyama sawa, ni full..lakini ni ya muda mfupi! Wakati condom japo raha inapungua kidogo...lakini ni ya muda mrefu!
jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
Ningekushauri uungane na mm kama hutajali, Mm nilishaacha kutumia hayo manailoni siku nyingi sana, ni kweli ladha hakuna kabisa.jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
Ningekushauri uungane na mm kama hutajali, Mm nilishaacha kutumia hayo manailoni siku nyingi sana, ni kweli ladha hakuna kabisa.
Kama hutaki kujilipua kuna thinnest condoms kama Ansell Ultra Thin, Australian Thinnest Condoms etc mara nyingi zinapatikana kwenye maduka makubwa ya dawa na supermarkets, bei yake iko juu kidogo lakini zinaongeza uhalisia wa tendo kidogo.