nashindwa!

loh!! mapya haya.
sasa kupenda ngono sio tatizo mwanawane. kaa na mpenzi mmoja umaliza haja zako zote na unafanya bila kinga ukiwa mmeshapima!!!
 
Usichoke kujaribu. Unatumia aina gani ya condom? maana kuna ambazo ni manati tu, wameweka kwenye box. Jaribu brand inayo julikana kama Durex na pia chukua the finest. itakua sawa tu. Uzuri wa condom ni ile security. Unauhakika you are getting pleasure and no bugs in it.
Alafu wakati wakuvaa/kuvishana hutakiwi kuacha kila kitu, unavaa/vika kama sox alafu ndio unarudilia shughuli...
just try and incorporate it in the foreplay...
NAshindwa kuwa explicit ila umenielewa. kama vipi twende PM nikueleze.
 
Kua na mpenzi mmoja ...hii iko ndani ya uwezo wako!!
Omba Mungu huyo utakae kua nae, nae awe na mpenzi mmoja alafu fanya namna ya kuvuia vichanga vyenu kukutana!!
 
mwaga hapa kwa faida ya wengine pia

Usichoke kujaribu. Unatumia aina gani ya condom? maana kuna ambazo ni manati tu, wameweka kwenye box. Jaribu brand inayo julikana kama Durex na pia chukua the finest. itakua sawa tu. Uzuri wa condom ni ile security. Unauhakika you are getting pleasure and no bugs in it.
Alafu wakati wakuvaa/kuvishana hutakiwi kuacha kila kitu, unavaa/vika kama sox alafu ndio unarudilia shughuli...
just try and incorporate it in the foreplay...
NAshindwa kuwa explicit ila umenielewa. kama vipi twende PM nikueleze.
 
Uamuzi Mzuri ni kuoa, tafuta Mchumba mkapime kisha muoane. Unapofanya mapenzi bila kinga unajiweka hatarini kupata VVU.
 
Kwahyo we unapenda ng'adu ng'adu.... Kitu ringi kwa ringi? Hako ni katabia ka wengi tu hapa.
Fanya kama wadau walivyosema. ISHI!
 
jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!

Hili ni tatizo la wanaume wengi kwa kweli...si wewe peke yako. Ukweli ni kwamba, wanaume wanaotumia condom kwa kila tendo ni wachache sana, wengi anatumia mara moja mbili..halafu wanaacha. Mara nyingi hii hutokea baada ya kupima HIV na kuwa -ve, basi watu wanaona ya nini wakati wako salama....SI KWELI!

Kupima HIV na kuwa na majibu -ve haina maana ndio milele utakuwa -ve, na nadhani hiyo ndio iwe sababu ya kuona umuhimu wa kujikinga zaidi, lakini hali si hivyo (tafiti nyingi zimeonyesha).

Kiukweli, condom haijatengenezwa ili upate raha ile ile kama mfano hujavaa condom, kazi yake ni kinga..hivyo unatakiwa u'sacrifice' kiasi fulani cha raha ili uwe salama...ukipenda nyama kwa nyama sawa, ni full raha..lakini ni ya muda mfupi! Wakati condom japo raha inapungua kidogo...lakini ni ya muda mrefu!
 
Hili ni tatizo la wanaume wengi kwa kweli...si wewe peke yako. Ukweli ni kwamba, wanaume wanaotumia condom kwa kila tendo ni wachache sana, wengi anatumia mara moja mbili..halafu wanaacha. Mara nyingi hii hutokea baada ya kupima HIV na kuwa -ve, basi watu wanaona ya nini wakati wako salama....SI KWELI!

Kumipima HIV na kuwa na majibu -ve haina maana ndio milele utakuwa -ve, na ndhani ndio iwe sababu ya kuona umuhimu wa kujikinga zaidi, lakini hali si hivyo (tafiti nyingi zimeonyesha).

Kiukweli, condom haijatengenezwa ili upate raha ile ile kama mafno hujavaa condom, kazi yake ni kinga..hivyo unatakiwa u'sacrifice' kiasi fulani cha raha ili uwe salama...ukipenda nyama kwa nyama sawa, ni full..lakini ni ya muda mfupi! Wakati condom japo raha inapungua kidogo...lakini ni ya muda mrefu!
Mh, mwee!
 
jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!

mkuu, ndivyo inavyopaswa kuwa, kinga ya nini tena?, tafuta mtu mkapime afya hasa magonjwa ya kuambukizana halafu chapa ilale, mi mwenyewe naonaga tamu kavu kavu. but remember to make only love and not babies!!!
 
jamani wana jf mwenzenu nimejaribu sana lakini naona nashindwa, ngono naipenda sana lakini kutumia kinga siwezi kabisa nikitumia sipati stimu,ushauri wadau!
Ningekushauri uungane na mm kama hutajali, Mm nilishaacha kutumia hayo manailoni siku nyingi sana, ni kweli ladha hakuna kabisa.
Kama hutaki kujilipua kuna thinnest condoms kama Ansell Ultra Thin, Australian Thinnest Condoms etc mara nyingi zinapatikana kwenye maduka makubwa ya dawa na supermarkets, bei yake iko juu kidogo lakini zinaongeza uhalisia wa tendo kidogo.
 
Kama maisha yako unayaombea ushauri we endelea tu!!. Habari yake utaitambua.
 
Ningekushauri uungane na mm kama hutajali, Mm nilishaacha kutumia hayo manailoni siku nyingi sana, ni kweli ladha hakuna kabisa.
Kama hutaki kujilipua kuna thinnest condoms kama Ansell Ultra Thin, Australian Thinnest Condoms etc mara nyingi zinapatikana kwenye maduka makubwa ya dawa na supermarkets, bei yake iko juu kidogo lakini zinaongeza uhalisia wa tendo kidogo.

kweli we mkongwe kwenye game.
 
Mwe! Wataalamu wa Ushauri nasaha kazi kwenu atakufa huyu mwenzetu tena siku za karibuni anavyosound ana pepo kazi kwenu wachungaji
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom