Nashindwa kusahau kabisa hili jambo linaniumiza

Nashindwa kusahau kabisa hili jambo linaniumiza

Ubaya ni kuwa watu hao ni wachache sana kukuta mtu kalelewa na wazazi wote wawili

Ila naamini ndoa haina mtaalamu ukienda vizuri na Mungu utaishi na yatima vzr mpk hiyo dhana uaisahau
Huyo mama yako wa kambo huenda alikuwa jini, na si binadamu mamamzungu
 
Me mwenyewe Mama wa kambo ananiletea mizebezo pamoja na kuwa na umri huu nilionao, yaani anawamezesha sana wanae Sumu ili wanichukie, yaani kila mipango ninayosetle na Mzee anaiharibu. Ameniwekea restrictions kwa Baba ili asinisaidie yaani kamkamata haswaa. Hivi hawa Mama wa kambo huwa wanaingiwa pepo gani mbona wanakua na roho za ajabu kiasi hiki,,,, stupid for all another Maza
 
Pole sana mdada hakika Mungu ni mwema maisha haya yanahitaji moyo wa uvumilivu na subira
 
Me mwenyewe Mama wa kambo ananiletea mizebezo pamoja na kuwa na umri huu nilionao, yaani anawamezesha sana wanae Sumu ili wananichukie, yaani kila mipango ninayosetle na Mzee anaiharibu. Ameniwekea restrictions kwa Baba ili asinisaidie yaani kamkatamata haswaa. Hivi hawa Mama wa kambo huwa wanaingiwa pepo gani mbona wanakua na roho za ajabu kiasi hiki,,,, stupid for all another Maza
Kuna kitu kinaitwa uke wenza ni sumu kwa wanawake
 
Ni mbaya sana, asilimia 90 ya matatizo ya afya ya akili (anxiety & depression) source yake ni Childhood Traumatic experiences..

Bahati nzuri ni kwamba you can be healed na ukawa free kabisa.
Naweza kumsaidia yeyote ku release traumatic experiences za utotoni.
Ubaya umefunga PM
 
Sijataka hata kimaliza baba yako alowekewa dawa mpaka asiweze kumfukuza huyo mke. Hadi nimeskia hasira.

Hili nalisadiki maana mama yake mzazi huyo mama wa kambo kila mwezi yupo home… sijajua alikuwa anakuja kufanyaje
 
Ubaya ni kuwa watu hao ni wachache sana kukuta mtu kalelewa na wazazi wote wawili

Ila naamini ndoa haina mtaalamu ukienda vizuri na Mungu utaishi na yatima vzr mpk hiyo dhana uaisahau
Inamaana mama yako mzazi hakurudi tena huko alikoenda? Huyo mama yako wa kambu ni kweli ana makosa lakini hata hao wazazi wako wana makosa pia, kwa sababu huyo baba yako alijua unayoyapitia lakini hakuchukua hatua mapema, Na huyo mama yako vile vile ilikuwaje awaache wanawe kwa mama wa kambu kichaa kama huyo? Hata kama maisha ni magumu lkn hakupaswa kuwaacha mapema Sana, samahani Sana lakini naweza kusema hakufanya uwamuzi sahihi wakati ambao mulimhitaji Sana ili kupata mapenzi yake wakati wa ukuwaji wenu, changamoto kama hizo wanapitia wengi Sana lakini wengi wetu tunashindwa kuchukua hatua ama kutokana Na ugumu wa maisha au uzembe, mama mzazi thamani yake ni pale tu anapochukua jukumu la kulea wanawe iwe akiwa Na mumewe au bila baba yao, hilo ni muhimu Sana kwa mustakbali wa maisha yao ya baadae.
 
Ukijifanya kuwa nao karibu tu wanakuua hata kwa uchawi au kwa namna nyingine.
Ibilisi akibadilika atakuwa shetani.
Hivyo ile roho ya kishetani ingali bado ndani yao
 
Duh pole sana kamanda hakika umepitia changamoto sana lakini yameshapita ayo maisha yanaendelea
 
Inamaana mama yako mzazi hakurudi tena huko alikoenda? Huyo mama yako wa kambu ni kweli ana makosa lakini hata hao wazazi wako wana makosa pia, kwa sababu huyo baba yako alijua unayoyapitia lakini hakuchukua hatua mapema, Na huyo mama yako vile vile ilikuwaje awaache wanawe kwa mama wa kambu kichaa kama huyo? Hata kama maisha ni magumu lkn hakupaswa kuwaacha mapema Sana, samahani Sana lakini naweza kusema hakufanya uwamuzi sahihi wakati ambao mulimhitaji Sana ili kupata mapenzi yake wakati wa ukuwaji wenu, changamoto kama hizo wanapitia wengi Sana lakini wengi wetu tunashindwa kuchukua hatua ama kutokana Na ugumu wa maisha au uzembe, mama mzazi thamani yake ni pale tu anapochukua jukumu la kulea wanawe iwe akiwa Na mumewe au bila baba yao, hilo ni muhimu Sana kwa mustakbali wa maisha yao ya baadae.
Kibongo bongo usisahau kuna limbwata, Mzee tayari alishazungushiwa dawa ya mbu !!!![emoji848]
 
Hapo mwisho ndio umemaliza angalau mama wa kambo wa sasa ni wa kidigitarii yaani usasa mwinginee hata akikuchukia hawezi kukuonyesha ila mama wa kambo wa kuanzia 2010 kushuka chini ni balaa yaani ni moto
Mama yangu sio wa kidigitali mie ni mzee kijana kama Mshana Jr. Hiyo 2010 nilishakuwa na ndoa na hata watoto wangu wote walikuwa washazaliwa.
 
Back
Top Bottom