mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
Mimi
Hatari sanaMalezi magumu kama hayo yanajenga tabia hasi au chanya kwa muhusika.
Hata wataalamu wa ndoa hawashauri kuingia kwenye ndoa na mtu ambae hakulelewa na wazazi wake wote wawili kipindi Cha utoto.Childhood traumas huwa zinamuandama mtu maisha yake yote hadi kaburini. Zile vitu zisikie tu.
Pole sana Dada Mungu akupe uimara na Roho ya utu!
WAtch out for part 2
Malezi magumu kama hayo yanajenga tabia hasi au chanya kwa muhusika.
Childhood traumas huwa zinamuandama mtu maisha yake yote hadi kaburini. Zile vitu zisikie tu.
Aisee pole sana.
Children trauma