Nashindwa Kumwambia

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Kuna mkaka anapitaga hapa mtaani kwetu, yaani nampenda ila kumwambia ndiyo nashindwa, usoni naona haya, hata sijui nifanyeje? Nisaidieni pleeeease.
 
Kuna mkaka anapitaga hapa mtaani kwetu, yaani nampenda ila kumwambia ndiyo nashindwa, usoni naona haya, hata sijui nifanyeje? Nisaidieni pleeeease.
yaelekea we penda penda sana mkuu,yan m2 anajipitia zake 2 mtaan we ushampenda?khaaaaa
 
Kuna mkaka anapitaga hapa mtaani kwetu, yaani nampenda ila kumwambia ndiyo nashindwa, usoni naona haya, hata sijui nifanyeje? Nisaidieni pleeeease.

........................Na mdada mwenyewe ndo we hapo kwenye avatar?
 
mwandikie barua...usisahau kutafuta karatasi yenye maua au unaweza kuchora mwenyewe.
 
Mtafute mganga akusafishie nyota uweze kumvuta huyo mkaka nakuakikishia atakuja omba maji ya kunywa kwenu then ukishdwa !
 
Sasa wewe uliyenae karibu umeshindwa kumwambia sisi tulio mbali tutakusaidiaje...??
Anyway muite uongee nae au msalimi na kupiga story za kawaida..., kama kuna muelekeo wa yeye kukubali utajua tu, na yeye atajua sio mpaka umtamkie
 
Wanasema neva stop for less bt 4 da best! Huihitaji kuumiza akili sana au kuandika barua wala nini we kama kwel unampenda tafuta cku umwambie ukwel face 2 face!
 
Mwombe akuchagulie zawadi ya birthday kwa ajili ya babako ,then humohumo malizana naye nineku email how to do it.
 
Ahsanteni sana wadau kwa maoni yenu. Nitayafanyia kazi ingawa mmmmh!! aibu kweli hakya nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom