Nashindwa kumfikisha mtu ninayempenda

Nashindwa kumfikisha mtu ninayempenda

Hali kama yako imewahi mtokea rafiki yangu, alihangaika kila namna bila mafanikio mwisho wa siku ikabidi akamuone mtaalamu wa mambo ya jadi kweli yule mtaalamu kuna mambo alimtengenezea mpaka sasahivi jamaa ananiambia mambo ni fresh.
 
Duh sasa hapo si hata joto la mashine huyo dada hapati. Hii ya kwako kali ila naona si kweli
Ni kweli mkuu....mimi ni bonge la creative fulani hivi alafu niliwahi kuwa monita wa umbwe sekondari kidato cha tano na sita, CR wa chuo makini kama SUA kwa miaka mitatu na diaspora wa Ethiopia mjini Tigris kwa miaka miwili.
 
Mimi huwa inanitokea sana hiyo nimebuni njia ya kuwa tango kila nipandapo kitandani kitu kikisizi tu pasipo yeye kujua namchomekea tango nalipampu kwa mkono kiujanja ujanja hadi anakojoa heshima iko palepale na kizuri zaidi huwa anamponda mume wake aliyezaa naye watoto wawili kuwa alikuwa hajui mambo.
una vituko kwa kweli
 
Unatatizo la kisaikolojia.
Pili ushauri unaopewa unapaswa kuufanyia kazi kwa miezi mitatu, sio tu leo umekunywa tangawizi, umeanza kufanya mazoezi afu unataka majibu mazuri iwe siku hiyohiyo.

Tuliza kichwa chako kwanza, achana mapenz kwa miez miwili, fanya mazoez, na fuata lishe kama ulivyo shauriwa.

Then epuka mawazo ya kushindwa.
 
Kwanza nikufahamishe;
Sio kila tunapokutana na wapenzi wetu huwa ni kwa sababu ya ku do. Aweza kuja gheto na akala, akanywa na kufua nguo akaondoka.
Pili;
Muoe kabisa akae hapo home. Huyu kishakujua shida zako hivyo mkioana mtavumiliana. Mambo ya kutumia madawa ni kuutesa mwili wako na wake bure bila sababu.
Utakapojua kuwa sio kila umwonapo ni sex tu utaanza kujituliza na mambo yako yataanza kuwa gado. Usimwogope, usimtetemekee, jua kuwa huyu ni wako tu nakuambia ghafula utajikuta unamfikisha kilele
Ushauri murua huu
 
Isijekua huyo mdada ana mapepo
Ishawah kunitokea yaan kila manzi ninayokutana nayo mnara inakua 4g ila kuna mmoja aisee mambo yalikua si mambo kumbe dem ana mashetani bwana tangia sku hio nikampotezea yule girl
 
hapo inawezekana inawezekana huyo mwanamke anajini mahaba ndio maana ikawa hivyo ama kuna mwanamke ulimzingua akakufunga ukienda kwingine mtalimbo unalala dolo,ama na wewe ulikuwa mto.mb.a mkono punyeto imekumaliza
 
Back
Top Bottom