Habari wana bodi mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za maisha .
Ajabu mara ya kwanza tu tunaanza kufahamiana kimwili gegedo langu lilishindwa kufanya kazi ile naingiza tu pump tatu ikalala nikajaribu njia zote wapi nikaenda kununua redbul wapi ikabidi nishindwe tukaondoka.
Nikaenda kuomba ushauri kwa marafiki zangu wakasema itakua ni msongo wa mawazo basi nikajaribu kujicontrol tukaenda tena wapiiiii nikapanic ila yote yanayonitokea yeye ananipa moyo tu.
Nikaenda kuomba tena ushauri nikaambiwa fanya mazoezi,kunywa maji mengi,kula tangawizi,mbegu za maboga,parachichi,asali n.k,nikafata hayo maelekezo lakini holaaaa.
Nikarudi tena kwa marafiki kuomba ushauri wakaniambia jaribu kutafuta mdada mwingine tofauti na huyo, nikafanya ivyo mambo huko yakawa fresh tu sikukata tamaa nikaendelea na mazoezi lakini mafanikio hamna nikapata ushauri mwingine wa kutumia vumbi la congo ,nikafata ushauri mambo yakawa supa nikawa napiga bao nne na zaidi.
Siku zikaenda mara ile hali ikajirudia tena hata nikitumia mkongo dyudyu linasimama nikigusa K tu inanywea nikaanza kuchanganyikiwa na nisijue la kufanya nampenda sana na yeye ananipenda naombeni ushauri waungwana.
Nikiwa kama Msaidizi wa Mshana Jr ninachokiona hapo mwanamke ana Jini Mshana.
Jini mahaba linamtesa mtu kwanamna litakavyo kwenye mambo ya Mapenzi. 1. Linaweza kumfanya mhusika awe mtumwa katika mapenzi, yani haitapita siku bila kufanya Ngono, hii ndio inapelekea tunaona Wanawake au wanaume wanaitwa Malaya, Lakini ni Jini linawapelekea kufanya hivyo bila Wenyewe kujua. (Kuna maelezo Mzengi zaidi hapa.)
2. Mwanamke huyo Sasa Yupo kwenye hiki kipengele namba mbili. Jini mahaba alilonalo linamkataza asifanye Ngono na mwanaume mwingine kwakuwa hilo Jini lenyewe ndio linamla, hivyo kwakuwa mwanamke huyo hajui atahangaika Sana na mtaishia kuachana na akipata mwanaume mwingine nako itakuwa hivyohivyo, (hapa unaweza kumuuliza je,? Kuna mwanaume wake yeyote iliwahi kumtokea Hali inayokutokea wewe?) Lakin anaweza kukudanganya ili isionekane kuwa Tatizo lipo kwake.
NB. Hilo jini linaweza Fanya njia tofauti tofauti zakuhakikisha huyo mwanamke Hawi na mwanaume mwingine, moans kwako limeamua kukufanya usidindishe mashine pindi utakapo kuingiza kwake.
Pia linaweza kusababisha hata kifo kwa mwanaume King'ang'anizi anayejifanya hataki kumuacha huyo mwanamke.
SOLUTION.
Kama sio muumini wa dini basi wapo wataalamuu wanaweza kuliondoa kabisa Hilo jini.
Kama ni muumini nenda kwa viongozi wako wa kiimani watakuonhoza katika Duwaa au maombezi.
Njia ya mwisho unaweza KUMUACHA HUYO MWANAMKE usishindane na Jini litakupoteza.

Kama ni muumini nenda kwa viongozi wako wakiimani watakuongoza katika Duwaa au Maombezi.
Njia ya mwisho unaweza kuachana nae