squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,193
Mungu ana kazi sana aisee. Hili nalo la kusali?Take time , believe in yourself , pray with God all things are possible.
Mungu ana kazi sana aisee. Hili nalo la kusali?Take time , believe in yourself , pray with God all things are possible.
nauelewa mziki lazma, lazma ujae sumuSafi kabisa, we unaakili sana.
Si unajua balaa la boom kukata? Madeni yanakua mengi mpaka kwa mama ntilie.
Kila ukiliwaza tu boom lako demu alivolitumia na ma shoga zake kwa fujo, we lazima upepo ukujae kisawasawa na uoga unakwisha kabisa.
Hahaha xaxa si Hana confidence kwa wasichana . Mungu ni kimbilio. Mfno mbna watu wanaomba Mungu wapate wake au mme , vyote vinawezekana , nimeshauri coz mpka amelileta hapa bhasi linakomsesha rahaMungu ana kazi sana aisee. Hili nalo la kusali?
Akitaka kutongoza madem!??pray with God all things are possible.
Aminia sana,nauelewa mziki lazma, lazma ujae sumu
Kama una hela ya kutosha confidence hua inakuja yenyewe automatically,ushauri wangu ni kwamba KWA SASA TAFUTA KWANZA PESA,Mambo ya wasichana wakali achana nayoWakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..
Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.
hahahah ntakupa mrejesho mkuuAminia sana,
Halafu usijihisi labda wewe sio handsome, labda kinachokukata pozi, ndo maana hujiamini. Wale jamaa hawaangalii uhandsome tu kwa wanaume, wanaangalia mengi sana.
Au kama vipi wapigie msuli yatima darasani, mwanzo mwisho waburuze kwenye paper kweli kweli, mpaka watakuelewa na wenyewe watakufata uwe rafiki yao.
Pole sanani kwel inatokea mtu unakuwa na inferiority complex unakuwa hujikubali
Ulichoongea ni sahihiKama una hela ya kutosha confidence hua inakuja yenyewe automatically,ushauri wangu ni kwamba KWA SASA TAFUTA KWANZA PESA,Mambo ya wasichana wakali achana nayo
Mm ishanikuta nikampenda mwnaume ambaye Hanna confidence ni shida coz yy anakuwa na inferiority , kwmb humtaki so anakosa wasichana kisa tu confidence
kwel mkuu, pesa kwanza ila tatizo ni kushindwa kujiamini hata kama sina mpango wa mschanaKama una hela ya kutosha confidence hua inakuja yenyewe automatically,ushauri wangu ni kwamba KWA SASA TAFUTA KWANZA PESA,Mambo ya wasichana wakali achana nayo