Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,400
Tafuta hela chalii...confidence inakuja ukiwa na pesa, hela na money
Mtoto wa kiume haogop kazaWakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..
Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.
Tafuta pesa kwanza confidence itakuja,utawatafuna vzr tu.Wakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..
Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.
Tena ukiona mtu anakana hivyo jua ndio ana PhD ya nyetoHuu ni uongo wa kiwango cha SGR.
We pray to GodTake time , believe in yourself , pray with God all things are possible.
yeah tatzo linakuja pale ninapokutana na mtoto mkali zaidi nakuwa na inferiority complexWw uliyeleta uzi huu hebu nikuulize swali la kizushi, je umewahi kumgegeda demu yeyote ktk umri wako? Umesema hujiamini kwa mademu wazuri, je demu akiwa wa kawaida bila shaka utajiamini? Au?
Pia tambua hao viumbe hata wawe wazuri kiasi gani BT hawajiamini ni wachache sana wanaojiamini so kazi ni kwakohahah umesomeka mkuu