snayper
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 302
- 218
Wakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..
Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.
Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.