Nashindwa kujiamini mbele ya waschana wazuri.

Wakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..

Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.

Kama unashindwa kuongea wape hela hao madem wazuri maana hela inaongea pia
 
Wakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..

Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.
We maliza chuo utafute pesa, zikianza kunukia katika waleti watajisogeza wenyewe, na utajikuta unaconfidence ya hatari
 
Pole mkuu nitakusaidia ila 25 inabidi usifocus kwa watoto inabd ufocus kwa mwanamke mkali.....

Kwanza omgeza kujipenda hii itajenga confidence kwako....pia kuwa ma magroup ya tsup has a Yale ya course yako jitajidi kusoma attitude yao hao ili ujifunze wanapenda nini....

Alafu ukiwaona kuwa na hofu ni lazima but jitahidi utembee na kamsemo kamgu "nikimkosa maisha yanaendelea" muite kwa heshima mfano "sorry sister" au unamuita jina tu akigeuka unasema nakuomba Mara 1....

Akija anza yaratibu like "leo umependeza ndo mnaenda town nn?"....au unauliza vip semester inaendaje??..... Alaf unaanza tu " sorry nlikuwa nakutafuta almost siku ya 4 leo bila mafanikio". Atakuuliza shida nn....kama yupo busy au yoga unakuzidi mjibu "nooo usiogope nlikuwa namaongezi kdogo nawew kama hutojari badae hiv" akisema poa...sema "owky nipe namba ako nitakutafuta kujua kama upo free" ......ukichukua namba ya simu mwiyangu wew mbane tu inbox atakuelewa
asante sana mkuu nimekuelewa kwa kina, ntafanyia kazi
 
Nyie wadada mliechangi hii mada, ebu mmoja ajitolee kumpa show ya kibabe kijana wetu jamani. Hata kwa inbox tu!!!

Asije akapata msongo wa mawazo.[emoji18]
 
Wadharau. Hiyo ndio njia bora ya wewe kujiamini. Narudia, WADHARAU.
 
Tafuta pesa mkuu , tena pesa mingi siyo za kubadilisha mboga. Utajiamini mara 100 zaidi hahaaaa. Me pia nlikuwa na sydrome hiyo tangu nikiwa mdogo sana primary. Lakini niligundua dawa yake mapema.
 
Mwaka wa kwanza mna kazi sana toka msikie mkija chuo kikuu ni mwendo wa kujiachia naona mnajinoa tu walahi kuna sap,carry,retake,kudisko ma***e life sio poa we tulia comfo zitapanda tu
 
Mm ishanikuta nikampenda mwnaume ambaye Hanna confidence ni shida coz yy anakuwa na inferiority , kwmb humtaki so anakosa wasichana kisa tu confidence
Eineth na mm sina confidence,nataka uwe wangu
 
Wakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la kushindwa kujiamini pale ninapokutana na watoto wazuri, watoto wakali, huwa najikuta ulimi wangu unakuwa mzito nashindwa hata kutoa salam tu, najikuta sina confidence, wengne huwa wananitafsiri kama nina dharau sababu huwa siwapi hata "mambo" kiukwel hii hali huwa inanipa wakati mgumu sana, najikuta nashindwa hata kumfata mschana mzuri nilietokea kumpenda..

Najua humu ndani kuna great thinkers wenye uzoefu, au waliopitia hali kama yangu, nifanyaje ili niondokane na hali kama hii, niwe na confidence zaidi. Nawasilisha.
Pole sana mkuu
Ila nakushauri kwanza jikubali the way ulivyo
Pili jitahidi kuwa socially na watu especially hao unaowaita watoto wakali
Tatu ikishindikana kabisa tafuta mwanamke saizi yako tu
 
Mwaka wa kwanza mna kazi sana toka msikie mkija chuo kikuu ni mwendo wa kujiachia naona mnajinoa tu walahi kuna sap,carry,retake,kudisko ma***e life sio poa we tulia comfo zitapanda tu
Acha kuongea usichokijua, sio kila mtu ni mwaka wa kwanza, hakuna ukomo wa kujifunza.
 
Pole sana mkuu
Ila nakushauri kwanza jikubali the way ulivyo
Pili jitahidi kuwa socially na watu especially hao unaowaita watoto wakali
Tatu ikishindikana kabisa tafuta mwanamke saizi yako tu
asante sana mkuu, umesomeka vyema
 
Pole mkuu nitakusaidia ila 25 inabidi usifocus kwa watoto inabd ufocus kwa mwanamke mkali.....

Kwanza omgeza kujipenda hii itajenga confidence kwako....pia kuwa ma magroup ya tsup has a Yale ya course yako jitajidi kusoma attitude yao hao ili ujifunze wanapenda nini....

Alafu ukiwaona kuwa na hofu ni lazima but jitahidi utembee na kamsemo kamgu "nikimkosa maisha yanaendelea" muite kwa heshima mfano "sorry sister" au unamuita jina tu akigeuka unasema nakuomba Mara 1....

Akija anza yaratibu like "leo umependeza ndo mnaenda town nn?"....au unauliza vip semester inaendaje??..... Alaf unaanza tu " sorry nlikuwa nakutafuta almost siku ya 4 leo bila mafanikio". Atakuuliza shida nn....kama yupo busy au yoga unakuzidi mjibu "nooo usiogope nlikuwa namaongezi kdogo nawew kama hutojari badae hiv" akisema poa...sema "owky nipe namba ako nitakutafuta kujua kama upo free" ......ukichukua namba ya simu mwiyangu wew mbane tu inbox atakuelewa

Anza na wenye sura za baba zao uwazoee afu taratibu uta gain momentum
 
Back
Top Bottom