Nashindwa kuelewa chanzo cha hewa au oxygen ni kipi

Nashindwa kuelewa chanzo cha hewa au oxygen ni kipi

Kwa mujibu wa sayansi, hewa au oxygen inatokana na mimea, lakini kiuhalisia tunaona hewa au upepo mwingi unakuja kutokea baharini na baharini hakuna mimea.t

Pia maeneo ya majangwani hakuna mimea ila kuna upepo mkali, je hewa huzalishwa kwa njia gani katika maeneo hayo?

Naomba mnieleweshe kwa wale wanao fahamu sayansi ya mazingira....
Nikushauri urudi darasani aibu nyingne zinaeoukika
 
Kama hiyo hewa haivunwi na inazalishwa, je hiyo hewa inazalishwa kwa kutumia mchanganyiko wa ingredients zipi?
Una kichwa kigumu sana,ngoja nikuache coz jibu la swali lako limo ndani ya comment yangu uliyoiquote.
 
Ziko nyingi Mno.
Unaweza ukafungiwa kwèñye chumba kisichokuwa na hewa(wanamaanisha Oksijeni) lakini hewa zingine zîpo
Mfano Nitrogen, hydrogen, argon n.k
Na hizo hewa nyingine kama Nitrogen, hydrogen chanzo chake ni nini?
 
Una kichwa kigumu sana,ngoja nikuache coz jibu la swali lako limo ndani ya comment yangu uliyoiquote.
Sio kichwa kigumu, ila lengo langu ni kujifunza na kuelewa zaidi... Usichoke kunipa madini Mkuu
 
Sawa mkuu, nitazidi kufanya tafiti kuhusu hilo
Pia naomba niongezee

Hewa ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali ulioundwa kipindi dunia inaanza kupoa miaka mingi iliyopita

Chemical reactions mbalimbali zilitoa gesi hizo

Kuelewa zaidi inabidi uwe mwanasayansi bobezi, kiufupi kubishana kuhusu mambo ya kisayansi ni ngumu, yanahitaji ujuzi zamivu
 
Back
Top Bottom