Nashindwa kuelewa chanzo cha hewa au oxygen ni kipi

Chanzo cha oxygen ni kipi hasa maeneo ambayo hakuna mimea?
.
Kwanza tunakubaliana Oxygen ina comprise 21% of air.

Chanzo cha oxgyen kikubwa ni kupitia viumbe wanaozalisha kama mimea(plants), algae, na bacteria kama cyanobacteria, bila kusahau plankton.
Maeneo ambayo kuna uhaba wa mimea mfano jangwani.
Oxygen inaweza kupatikana kwa njia kama hizi.
1. Diffusion, oxygen ina move kutoka sehemu yenye kiwango kikubwa cha oxgygen na kwenda sehemu yenye kiwango kidogo.

2. Kuchanganyikana kwa hewa.
Hii inasababishwa na upepo.

3. Kuna bacteria wanavunjavunja compounds na kutengeneza oxygen

Nb. Baharini kuna viumbe kama plankton, algae na bacteria ambao huzalisha oxygen.

Kwahiyo si kweli kwamba baharini hakuna oxygen.
 
Baharini ipo Oxygen, na nadhani ndyo hiyo ambayo inakuja kama upepo.

Kwa maana hiyo, oxygen inazalishwa na kitu zaidi ya kimoja?
Asilimia kubwa ya oxygen inayozalishwa baharini inatumika na viumbe vya hukohuko baharini.

Ndio chanzo sio kimoja.
 
Kwa mujibu wa sayansi, hewa au oxygen inatokana na mimea, lakini kiuhalisia tunaona hewa au upepo mwingi unakuja kutokea baharini na baharini hakuna mimea.

Pia maeneo ya majangwani hakuna mimea ila kuna upepo mkali, je hewa huzalishwa kwa njia gani katika maeneo hayo?

Naomba mnieleweshe kwa wale wanao fahamu sayansi ya mazingira....
Wanasayansi wakikosa majibu husingizia mambo ya asili ya Dunia wakati inajitengeneza ulipotokea mgongano mkubwa wa sayari.
Kwa mfano ukiwambia Gravitation force ilitokana na nini - utapewa majibu ya hatari.
 
NDUGU usichanganye upepo na hewa.
Hewa (Gasi) zipo za aina nyingi ikiwemo hiyo ya oksigeni imeelezwa hapo juu inazalishwaje. Hewa ikiwekwa kwenye mgandamizo (pressure) inatabia ya kukimbilia sehemu isiyo na pressure Kubwa, mwelekeo huu utengeneza upepo( mfano jazo hewa kwenye mapafu Kisha zuia, ukiachia utaona hewa inatoka Kwa nguvu kwenye pua na kutengeza upepo). Upepo kutoka na kuelekea bahari au jangwani hutegemea hiyo pressure. joto/jua ndio chanzo kikuu Cha mwelekeo wa upepo. Kama uko making utaona kuna nyakati Hata sehemu zenye miti upepo hupotea na miti kutulia hii maana yake pressure imebalance huko baharini na nchi kavu.

Muhimu maji (bahari) inatabia ya kupata joto haraka na kupoa haraka, wakati ardhi inapata joto taratibu na kupoa pia taratibu.
 
Planetary Society logo
Jason Davis • May 11, 2023

How did Earth get its oxygen?​

There’s no place like home. Of all the wondrous worlds we’ve studied in our Solar System and beyond, none are quite like Earth. Our planet is covered in liquid water and harbors an oxygen-rich atmosphere that has allowed a multitude of plants and animals to evolve — including us.
It wasn’t always that way. If you could travel back in time to early Earth, your lungs would choke on an atmosphere devoid of oxygen. The gas that humans need to survive didn’t appear in significant quantities until roughly halfway through our planet’s current lifespan.
CRESCENT EARTH FROM ROSETTA Rosetta viewed Earth in a thin crescent phase as it approached for its November 13, 2009 flyby. This image is one in a series taken to make an animation of the rotating Earth over a 24-hour period.Image: ESA / OSIRIS Team MPS / UPD / LAM / IAA / RSSD / INTA / UPM / DASP / IDA / Gordan Ugarković
So how did Earth’s atmosphere get its oxygen? The simple answer is that early microorganisms produced it using a process you may have learned about in elementary school: photosynthesis. Photosynthesis is the process by which plants and other organisms use sunlight, water, and carbon dioxide to produce energy. As a byproduct, oxygen is released, which has over time given Earth an oxygen-rich atmosphere suitable for complex lifeforms.
Exactly how the Cosmos set the stage for this to happen is not known with complete certainty, but we know the basics. Let’s start at the beginning.

The care and feeding of early Earth​

Our Sun formed about 4.57 billion years ago from a cloud of collapsing dust and gas, in an unremarkable corner of the Milky Way galaxy. The material left over the Sun’s formation coalesced into everything else in our Solar System, including Earth, which was born around 4.55 billion years ago.
Earth was still practically a baby when a Mars-sized world named Theia is believed to have plowed into the planet about 4.51 billion years ago. Most of Earth’s mantle was melted by the impact, and molten remnants from the collision formed the Moon. Vaporized rock and silicate clouds circled Earth, making our world shine like a small, fiery Jupiter.
 
Kwa mujibu wa sayansi, hewa au oxygen inatokana na mimea, lakini kiuhalisia tunaona hewa au upepo mwingi unakuja kutokea baharini na baharini hakuna mimea.

Pia maeneo ya majangwani hakuna mimea ila kuna upepo mkali, je hewa huzalishwa kwa njia gani katika maeneo hayo?

Naomba mnieleweshe kwa wale wanao fahamu sayansi ya mazingira....
Oxygen haitokani na mimea bali mimea huvunja/hutenganisha maji kupitia chemical reaction kuzalisha oxygen.
 
Shuleni uongo ni mwingi mno bro....
We unaamini sisi tulikua nyani sijui sokwe??? Sa mbona nyani wa sasa hawabadiliki kuwa binadamu.

Haya milima ni results sijui ya tensional na compressional force, na volcano hizo process mbona haziendelei tena? Tupate milima mingine??
Hakuna vitabu katika elimu ya evolution vinavyosema binadamu walikuwa nyani, kama ulifundishwa hivyo shuleni kwenu walimu wako walikuwa vilaza, vihiyo au wanafanya mzaha tu.
 
Kama darasani mnatakiwa nyote kurudi, wewe na yeye.

Nimefuatilia maswali yote aliyouliza kuhusu hewa ya Oxygen hususani akimaanisha kama ndiyo chanzo cha kuishi viumbe.

Lakini majibu yote, hakuna aliyejibu kisayansi, badala yake majibu yanayotolewa ni ya kukaririshwa kujibia mitihani.
Kwa hiyo hayo wanayojibia mitihan na kukaririshwa sio sahihi
 
NDUGU usichanganye upepo na hewa.
Hewa (Gasi) zipo za aina nyingi ikiwemo hiyo ya oksigeni imeelezwa hapo juu inazalishwaje. Hewa ikiwekwa kwenye mgandamizo (pressure) inatabia ya kukimbilia sehemu isiyo na pressure Kubwa, mwelekeo huu utengeneza upepo( mfano jazo hewa kwenye mapafu Kisha zuia, ukiachia utaona hewa inatoka Kwa nguvu kwenye pua na kutengeza upepo). Upepo kutoka na kuelekea bahari au jangwani hutegemea hiyo pressure. joto/jua ndio chanzo kikuu Cha mwelekeo wa upepo. Kama uko making utaona kuna nyakati Hata sehemu zenye miti upepo hupotea na miti kutulia hii maana yake pressure imebalance huko baharini na nchi kavu.

Muhimu maji (bahari) inatabia ya kupata joto haraka na kupoa haraka, wakati ardhi inapata joto taratibu na kupoa pia taratibu.
Elimu nzuri umetoa, naamini wengi watajifunza kupitia maelezo uliyo yatoa... Vyema sana mkuu
 
Oxygen ya mwanzo ya hewani duniani haikuzalishwa na mimea bali bacteria wanaoitwa cyanobacteria.
Hao bacteria walizalisha oxygen ya kwa njia gani? Au walikuwa ni bacteria wana patikana katika maeneo yapi kwenye mazingira?
 
Planetary Society logo
Jason Davis • May 11, 2023

How did Earth get its oxygen?​

There’s no place like home. Of all the wondrous worlds we’ve studied in our Solar System and beyond, none are quite like Earth. Our planet is covered in liquid water and harbors an oxygen-rich atmosphere that has allowed a multitude of plants and animals to evolve — including us.
It wasn’t always that way. If you could travel back in time to early Earth, your lungs would choke on an atmosphere devoid of oxygen. The gas that humans need to survive didn’t appear in significant quantities until roughly halfway through our planet’s current lifespan.
CRESCENT EARTH FROM ROSETTA Rosetta viewed Earth in a thin crescent phase as it approached for its November 13, 2009 flyby. This image is one in a series taken to make an animation of the rotating Earth over a 24-hour period.Image: ESA / OSIRIS Team MPS / UPD / LAM / IAA / RSSD / INTA / UPM / DASP / IDA / Gordan Ugarković
So how did Earth’s atmosphere get its oxygen? The simple answer is that early microorganisms produced it using a process you may have learned about in elementary school: photosynthesis. Photosynthesis is the process by which plants and other organisms use sunlight, water, and carbon dioxide to produce energy. As a byproduct, oxygen is released, which has over time given Earth an oxygen-rich atmosphere suitable for complex lifeforms.
Exactly how the Cosmos set the stage for this to happen is not known with complete certainty, but we know the basics. Let’s start at the beginning.

The care and feeding of early Earth​

Our Sun formed about 4.57 billion years ago from a cloud of collapsing dust and gas, in an unremarkable corner of the Milky Way galaxy. The material left over the Sun’s formation coalesced into everything else in our Solar System, including Earth, which was born around 4.55 billion years ago.
Earth was still practically a baby when a Mars-sized world named Theia is believed to have plowed into the planet about 4.51 billion years ago. Most of Earth’s mantle was melted by the impact, and molten remnants from the collision formed the Moon. Vaporized rock and silicate clouds circled Earth, making our world shine like a small, fiery Jupiter.
Taarifa nzuri......
 
Hao bacteria walizalisha oxygen ya kwa njia gani? Au walikuwa ni bacteria wana patikana katika maeneo yapi kwenye mazingira?
Bacteria wa baharini, wanazalisha oxygen kwa mfumo huo huo kama wa mimea.
 
Kwa mujibu wa sayansi, hewa au oxygen inatokana na mimea, lakini kiuhalisia tunaona hewa au upepo mwingi unakuja kutokea baharini na baharini hakuna mimea.

Pia maeneo ya majangwani hakuna mimea ila kuna upepo mkali, je hewa huzalishwa kwa njia gani katika maeneo hayo?

Naomba mnieleweshe kwa wale wanao fahamu sayansi ya mazingira....
Labda kwa kukusaidia mm naona unachanganya concept mbili ambazo haziingiliani
Ni kweli oxygen inatengenezwa na mimea lakini tambua ikishazalishwa inajichanganya kwenye hewa zingine ambapo oxygen inakuwa na 23% ya oxygen
Lakini upepo unasababishwa na tofauti za kimgandamizo ambapo hewa itatoka sehemu yenye mgandamizo mkubwa kwenda mdogo
Na mfano baharin kuna sea breeze na land breeze kwa hyo kuna wakati upepo unatoka nchi kavu (ambapo kuna mimea inayozalisha oxygen) na wakati mwingine upepo unatoka baharin ukiwa na ile ile oxygen
Hata kwenye jangwa ujue upepo unatoka sehemu ambayo sio jangwan utapita jangwan na kupelekea sehem nyingine kwa kanuni ile ile ya tofauti ya mgandamizo wa hewa
Hapa usipoelewa sijui kama kuna maelezo mengine utaelewa
 
Back
Top Bottom