Nashukuru kwa kuelewa hali halisi ninayopitia. Distance ni tatzo kubwa kwenye mahusiano yetu, na nikiri tu kwamba sometimes huwa naona ni ngumu sana binti ajitunze kwa kipindi chote ninachokuwa mbali, so nahisi kumpa nafasi ya kuwa wife ni kosa kubwa nitakalofanya.. I will take your adviceNinachohisi ni kwamba umeanza kuwa insecure kwa sababu ya distance kati yenu. As a result umeanza kumuwazia mabaya binti kuwa inawezekana anachepuka.
Ndoto inaweza kuwa ni maono kutoka kwa Mungu anajaribu kuongea na wewe kuhusu kitu fulani, na wakati mwingine tunaota aina fulani za ndoto kwa sababu ya shughuli nyingi/fikra/mawazo yetu. So inawezekana pia umeota hivyo kwa sababu ya aina ya mawazo unayomuwazia huyo binti. Kama unaamini kiasi hicho, basi muombe Mungu kwa uaminifu kabisa, kama ilikuwa ni yeye anasema nawe kwa ndoto, basi atasema na wewe tena juu ya huyo binti. That will be the only solution ili wote muwe na amani, usiwe na doubt moyoni mwako.
Kwa sababu (IMO), umbali unakufanya uamini binti anachepuka, unatamani umuache ila nafsi yako inakusuta coz huna proof ya hiyo sababu ya kumuachia. So hapa you are simply looking for justification ya kumuacha, ndo maana unaassume tu mambo mengii. Kuna mtu kakupa tricks za kumuingia mdogo ako aseme kweli, kama utaliweza hilo fanya pia to clear your doubts
Hapo kwa mama panakutisha zaidi kwa sababu ya hofu uliyomuwekea mpenzi wako. Yes kuna tabia zinakuwa common kwa kila kabila kwa baadhi ya watu, ila haziwezi kuwa common kwa kila mtu.
Wewe binafsi ni shahidi kuwa huyo sio malaya na umempa sifa nzuri ambazo sio rahisi kuzipata kwa kila mwanamke. Kama angekuwa malaya kama kabila lake, hakika ungeshamgundua kuanzia zamani huko, tabia ya asili ya mtu ni ngumu mno kuificha. Mchawi wenu hapo ni distance, kill the distance by marrying her. Finding a good woman isn't that much easy, ni neema kwa kweli
Na ombi tu kwa wanaume wote, muwaulizage tu mama zenu mapemaa ni makabila yapi hawatoki muoe. Sio mnakaa na mabinti za watu, wanahangaika na nyie katika yote, afu mwishoni uje umwambie mama hataki kabila lako. Msijitafutiage laana za machozi ya watu pasipo msingi
Asante mkuuKazi na mali vinaweza pita kwa muda wowote hasa hizo kazi za kuajiliwa, lakini familia utakayojenga utadumu milele na milele, utaanza kuitwa baba, babu baadae sijui nani, na kuendelea huko.....
Lakini muda wa kuzingatia hayo machaguo ni sasa,
Waluwahi kusema wajuvi,
Apatae mkr mwema, amepata kitu chema. Hakuna pahala pameandikwa apatae kazi njema amepata maisha mema.
Jukumu la kazu ni ndoto nabmipango ya mtu, lakini jukumu la familia ni ndoto na mipango yako, hivyo muda ni mwamuzi wa vichaguo, angalia unalenga nini.
Hapa ni juu yako kadiri ya mapenzi yako
Wewe huko ulipo unajitunza? If yes, kwa nini yeye asiweze? Please usijitie jakamoyo kumuwazia mabaya mtoto wa watu while ukute hata hajachepuka.Nashukuru kwa kuelewa hali halisi ninayopitia. Distance ni tatzo kubwa kwenye mahusiano yetu, na nikiri tu kwamba sometimes huwa naona ni ngumu sana binti ajitunze kwa kipindi chote ninachokuwa mbali, so nahisi kumpa nafasi ya kuwa wife ni kosa kubwa nitakalofanya.. I will take your advice
Ndio maana mabinti wa siku hizi hawataki kuwa na mahusiano na kijana ambae hana mtonyo(pesa)Ankara kwa sababu utampenda na kumvumia tena hata hulalamiki,Siku akizinyaka au amepata kazi amebadili na mwendo haki vile atakutafutia vijisababu mpaka akuache tuu.HAMNAGA HAYAKaka zangu na dada zangu msaada tafadhali. Ni kuhusu huyu binti, natamani sana kuachana nae nianzishe mahusiano mapya lakni moyo wangu unaniuma nahisi nitakuwa sijamtendea haki mtoto wa watu.
Nimetoka nae mbali kipindi hicho nipo home sina michongo ya maana, nimechoka hataree. Binti kanielewa hivo hivo na utam napata simpi hata senti..
Now mambo yamekaa safi ingawa nature ya kazi yangu inanibana, naweza kukaa hadi miezi 6 bila kuonana na huyu binti.
Mipango ya kuwa na familia ninayo toka kitambo ila linapokuja suala la kutaka kumpa heshima huyu binti ya kuwa WIFE ndo utata unapoanzia. Sababu za huu utata hizi hapa;
1. Sinaga desturi ya kumuota huyu binti ila nakumbuka nilimuota mara moja tu lakni ndoto hio ni mbaya aisee aibu hata kusimulia.( Binti amelala na mdogo wangu wa kiume nami nikiwa nashuhudia)
2. Nimejaribu kuwaeleza walezi kuhusu mpango wangu wa kuoa, wamebariki ila bi Mkubwa nae kantisha sana na precaution yake nilipomjuza kabila la binti. Ameniambia niwe makini kabila la huyu binti ni Malaya na bla bla kibao tu vitu ambavyo ni the same things na vile nilivyo ona ndotoni.
3. Sijajua nini kinaendelea kati ya huyu binti na mdogo wangu wa kiume, nahisi kama dogo ameonja utam wa binti. Huwa anaongea na huyu binti vzuri tu ila nimerudi likizo mambo yamebadilika, hakuna tena amani kati yao. Kuna siku dogo alibadili njia alipomuona binti anakuja mbele yetu, hili tukio limenipa wasiwasi sana.
Mnipe mawazo yenu wapendwa. Huyu binti ni mpole, mcha Mungu, hana mambo mengi ukimuona anafaa kabisa kuitwa Mke ila huu utata kwa kweli nashindwa nishike lipi jema mbele yangu..!?
Hili jambo lazima ulifanyie kazi, Ongea na dogo kama ulivyoshauliwa hapo juu, ongea kama vile hujali, Tengeneza mazingira ya kupata info, ni muhimu sana hii, kama aliweza kumpa uroda mdogo wako si jambo la kupuuzia.Nakumbuka. Na hapo ndipo moyo wangu unauma ninapowaza kumuacha
Na kweli kabisa, mtu mnaishi kwa dhiki, muda wa neema anaenda kwa wengineNdio maana mabinti wa siku hizi hawataki kuwa na mahusiano na kijana ambae hana mtonyo(pesa)Ankara kwa sababu utampenda na kumvumia tena hata hulalamiki,Siku akizinyaka au amepata kazi amebadili na mwendo haki vile atakutafutia vijisababu mpaka akuache tuu.HAMNAGA HAYA
Ninachohisi ni kwamba umeanza kuwa insecure kwa sababu ya distance kati yenu. As a result umeanza kumuwazia mabaya binti kuwa inawezekana anachepuka.
Ndoto inaweza kuwa ni maono kutoka kwa Mungu anajaribu kuongea na wewe kuhusu kitu fulani, na wakati mwingine tunaota aina fulani za ndoto kwa sababu ya shughuli nyingi/fikra/mawazo yetu. So inawezekana pia umeota hivyo kwa sababu ya aina ya mawazo unayomuwazia huyo binti. Kama unaamini kiasi hicho, basi muombe Mungu kwa uaminifu kabisa, kama ilikuwa ni yeye anasema nawe kwa ndoto, basi atasema na wewe tena juu ya huyo binti. That will be the only solution ili wote muwe na amani, usiwe na doubt moyoni mwako.
Kwa sababu (IMO), umbali unakufanya uamini binti anachepuka, unatamani umuache ila nafsi yako inakusuta coz huna proof ya hiyo sababu ya kumuachia. So hapa you are simply looking for justification ya kumuacha, ndo maana unaassume tu mambo mengii. Kuna mtu kakupa tricks za kumuingia mdogo ako aseme kweli, kama utaliweza hilo fanya pia to clear your doubts
Hapo kwa mama panakutisha zaidi kwa sababu ya hofu uliyomuwekea mpenzi wako. Yes kuna tabia zinakuwa common kwa kila kabila kwa baadhi ya watu, ila haziwezi kuwa common kwa kila mtu.
Wewe binafsi ni shahidi kuwa huyo sio malaya na umempa sifa nzuri ambazo sio rahisi kuzipata kwa kila mwanamke. Kama angekuwa malaya kama kabila lake, hakika ungeshamgundua kuanzia zamani huko, tabia ya asili ya mtu ni ngumu mno kuificha. Mchawi wenu hapo ni distance, kill the distance by marrying her. Finding a good woman isn't that much easy, ni neema kwa kweli
Na ombi tu kwa wanaume wote, muwaulizage tu mama zenu mapemaa ni makabila yapi hawatoki muoe. Sio mnakaa na mabinti za watu, wanahangaika na nyie katika yote, afu mwishoni uje umwambie mama hataki kabila lako. Msijitafutiage laana za machozi ya watu pasipo msingi
Uliza tu mpendwaEwaaaaaa.........
Aisee kuna kitu nilitaka uliza wacha nivunge tu.
Uliza tu mpendwa
1. Haha hapana1.Uliwahi kuwa na mtu toka chini ila baada ya kupata pesa akabadilika?
2. Turudi kwenye mada, ikitokea akapata ukweli kuwa mdada alipitiwa akampa mdogo wake. Unashauri achukue maamuzi gani?
Kazi ni hapa Tz ila mazingira hayaruhusu yeye kunitembelea, najiheshimu sana sijawahi kuwa na mwanamke wa pembeni tangu niwe nae kwenye mahusiano..Wewe huko ulipo unajitunza? If yes, kwa nini yeye asiweze? Please usijitie jakamoyo kumuwazia mabaya mtoto wa watu while ukute hata hajachepuka.
BTW hiyo kazi unafanyia hapa hapa nchini? Maana huo ubusy wa kazi no kuonana hata kwa miezi 6 mmh? Na kama ni hapa hapa, basi si angekuwa anakuja kukusalimia huko ulipo au nayo haiwezekani?
Unaona kabisa distance ndo shida, sasa si umuoe huyo binti jamani kabla jini mkata kamba hajawasalimia? Me honestly sijakiona bado kinachokufanya usite kumuoa, unless ushapata mwingine huko ulipo. Ndo usisahau mlipotoka na binti wa watu, changamoto zako zote za kipindi kile mlizisolve pamoja, na hii ya distance isovuni pamoja. Such a ride or die girlfriend ni wachache mno ndugu yangu
I'll try not to disappoint her.. hata me sipendi hilo litokee, nafsi yangu inanisuta.Na kweli kabisa, mtu mnaishi kwa dhiki, muda wa neema anaenda kwa wengine
Sure broJilidhishe kwanza kabla ya kumuacha vinginevyo yatageuka majuto kwako
Ni kweli wengi wetu tunakosea hapa ila kwangu sitaki itokee ndomana naomba ushauri wenuNdio maana mabinti wa siku hizi hawataki kuwa na mahusiano na kijana ambae hana mtonyo(pesa)Ankara kwa sababu utampenda na kumvumia tena hata hulalamiki,Siku akizinyaka au amepata kazi amebadili na mwendo haki vile atakutafutia vijisababu mpaka akuache tuu.HAMNAGA HAYA
Nimependa hiiIla atatokea mwenzako alieko serious abebe mzigo kwa bei ya jumla kisha utakuja tena hapa na thread ya kuomba ushauri na kuwalaumu wanawake.
Unajipa muda mdada wa watu abaki ameganda tu? Tunajipa mamlaka makubwa sana wakati mwingine, mkuu kumbuka na yeye anahitaji kupanga maisha yake.
Basi kama unajitunza, please be +ve; amini na yeye anajitunza as long as hujawahi kumkatamata au hajakuonesha sign yoyote kuwa anacheat. Solve hiyo issue ya distance kama mnataka kusonga mbele. Sababu unayo, nia unayo na uwezo unao, kwa nini msioane tu mkamuaibisha shetani?Kazi ni hapa Tz ila mazingira hayaruhusu yeye kunitembelea, najiheshimu sana sijawahi kuwa na mwanamke wa pembeni tangu niwe nae kwenye mahusiano..
Trust me huo uvumilivu alokuonyesha girlfriend wako, kuna watu wanautafuta kwa wake zao wa ndoa na hawaupati. She is such a rare game. Wewe tu unajua ulivyokuwa unajisikia wakati huna hela, ila she was there to make you feel that you are not any less of a man. Oa huyo mdogo angu oohI'll try not to diaapdisap her.. hata me sipendi hilo litokee, nafsi yangu inanisuta.