soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,355
- 2,194
- Thread starter
- #21
To be honest sina mtu zaidi yakeMh una lako tu wewe au una mtu tayar mana hamkwepeshi
To be honest sina mtu zaidi yakeMh una lako tu wewe au una mtu tayar mana hamkwepeshi
AiseeeAkiniambia ukweli nahisi ntaumia ndo mana sikutaka kumdodosa
Ni vema ukajua ukweli hata kama utakuumiza.Kujua ukweli na kuchukia maamuzi sahihi kutakukinga na mengi zaidi ya mbeleniAkiniambia ukweli nahisi ntaumia ndo mana sikutaka kumdodosa
Hua mnakubali basiTo be honest sina mtu zaidi yake
Kwa maelezo yako naona huyo ndio mkeo kama uyasemayo yana uhalisiaTo be honest sina mtu zaidi yake
Alinipa tu tahadhari ila neno lake sio sheria..Ukiwa tayari kuoa utapata majibu na hizo tashwishwi zako.
Sasa mama nae anaposema makabila ya wengine wakati wewe mwanae amekuacha unaendelea kuchovya binti wa watu sio sawa, au huo ni tofauti na anaouongelea.
Me pia nahisi hivo ila sitaki kukosea aisee naogopa mnoKwa maelezo yako naona huyo ndio mkeo kama uyasemayo yana uhalisia
Umenena vema. Nikirudi likizo itabidi niongee na dogo vizuriNi vema ukajua ukweli hata kama utakuumiza.Kujua ukweli na kuchukia maamuzi sahihi kutakukinga na mengi zaidi ya mbeleni
Alinipa tu tahadhari ila neno lake sio sheria..
Nimepoteza amani kabisa, nature ya kazi yangu imechangia mno kukosa imani juu yake..Acha kujipa hofu , yang nihaya!!!
Muite Dogo kaa naye muulize nn kinachoendelea, ww ni mwanamme ,unajua mbinu zakujua huyu nikweli au uongo.
Inawezekana ulikua namawazo mabaya juu ya binti hata ukajikuta unamuota ivo .
Ndio akat nyingine kuna ndoto za maono , sasa ndo umuulize tu .,then kaa binti umuulize ,,, hao wote uwaulize kwa style yawewe " Umeshajua kinachoendelea"....ukijihakikishia nikweli PIGA CHINI HUYO DEMU HAFAI .
Sema mkuu nini,,, Naona umeshapoteza aman kwa demu Achana naye !! .
Achana naye Mkuu .... Kinyume nahapo hutokaa uwe naye Amani !!Nimepoteza amani kabisa, nature ya kazi yangu imechangia mno kukosa imani juu yake..
Bado namuhitaji Sana kwenye maisha yangu. Sijawahi kumuhisi anatembea na mtu wala Sina tabia ya kumfatilia, hata simu yake sishiki. Labda nizidi kujipa muda ili nipate maamuzi sahihi.Unampenda? Na moyo wako unakushujudia au kukupa taa ya kijani unapofikiria kuwa huyu ndio wife?
Sarakasi zipi na zitaendelea kuwepo maisha yenu yote. Kupambana nazo na kuzitatua ndio maisha yenyewe sasa.
Kama haujamfumania au kumshika kwenye tukio, unaweza kuwa unachezea shilingi kwenye tundu la choo.
Vinginevyo umemchoka, ujue haya mambo yapo kabisa. Mtu hajakufanyia baya lolote na hana kasoro yoyote ila basi moyo umekinai tu...
Bado namuhitaji Sana kwenye maisha yangu. Sijawahi kumuhisi anatembea na mtu wala Sina tabia ya kumfatilia, hata simu yake sishiki. Labda nizidi kujipa muda ili nipate maamuzi sahihi.
Bi Mkubwa Mara nyingi huwa apindishi maneno, ameniogopesha mnoIshu sio ndoto zako labda kama home kwenu kuna kilinge.
Mawazo ya bi mkubwa yape uzito kama demu ana cover la uzinzi ila kama umesema yupo good.. Tumia moyo wako kwake sio huruma tu.
Kuhusu utata juu ya mdogo wako.. Sio lazima upate ukweli kutoka kwa dogo tu.
Mwisho: Isijekuwa umepata demu huko job kwako ndio umtafutie vijisababu binti wa watu.. Kama unaona short cut ni nzuri pita tu mambo ya ndoa si kitoto.
I will keep your wordsIla atatokea mwenzako alieko serious abebe mzigo kwa bei ya jumla kisha utakuja tena hapa na thread ya kuomba ushauri na kuwalaumu wanawake.
Unajipa muda mdada wa watu abaki ameganda tu? Tunajipa mamlaka makubwa sana wakati mwingine, mkuu kumbuka na yeye anahitaji kupanga maisha yake.
I will keep your words
Kabisa mkuu, dawa ni kujilipua tuHapa utapata ushauri wa kila aina mkuu, lakini mwisho wa siku maamuzi yanatoka kwako na wewe ndio mhusika. Baadhi ya hizo hofu zako dawa yake ni kuweka ndani mwali.