Nashindwa kuamini kama kweli.

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,030
1,384
Jamani Wakuu; hiki kitu kimepostiwa facebook. Nimeshindwa kuamini kama kinawezekana hasa kwa kiwango cha chuo kikuu.
Tunaomba kama kuna yeyote alietokea ktk chuo tajwa au mwenye kufahamu kama yanafanyika haya!!!

556017_480948571967078_1140313156_n.jpg
 
Haya maswali na majibu ni common sana kwa wanafunzi wa degree za udaktari wa heshima.
 
Back
Top Bottom