Nashindwa ku-play video za kwenye blog kwenye Nokia X, Naomba msaada

JIMMY BENNE

Member
Apr 15, 2013
28
1
Wakuu simu yangu inatatizo laku-play video kutoka ktk blogs mbalimbali. Mwenye suluhisho wa tatizo hili msaada tafadhali.
 
its low end phone... kwahiyo usitegemee makubwa.
kaa mahala penye 3G HSDPA then kwa browser ya Google chrome try ku play tuone
 
sawa mkuu ila niki-play inagoma nakusoma "can't play this video"

mi natumia NOKIA X ni simu nzuri sana kwanza ina laini mbili nimeweka tigo kwa mawasiliano huwa najiunga kifurushi cha chuo cha wiki pia nina Airtel najiunga bundle la mwezi 3500(gb 6) huwa natumia UC BROWSER ina youtube inaonyesha high quality pia unaweza kudownload video huku unaicheki pia simu hii inaweza kustream tv coz inasapoti ADOBE FLASH PLAYER yaani huwa naangalia mpira live kupitia sim mpaka najiuliza WHY zinauzwa bei rahis hivi hata hizo video za kwenye blogs huwa zinaplay nakushauri jaribu UC BROWSER ikigoma basi hiyo itakua na tatizo.
 
Back
Top Bottom