Mr Ngololo
Member
- Sep 3, 2020
- 42
- 19
Naomba mwenye anaweza ku solve hili tatzo anisaidie ndugu zangu nashindwa kuweka fingerprint kabisa kwenye simu yangu redmi 10x pro.
Hizi simu zina shida sana kwa upande wa finger print. Mimi nina redmi note 10 pro nayo ina hiyo shida.Naomba mwenye anaweza ku solve hili tatzo anisaidie ndugu zangu nashindwa kuweka fingerprint kabisa kwenye simu yangu redmi 10x pro.
View attachment 2632734
Acha tuh broh hapa nimefanya kui update huenda ikawa sawa lakn wapi
Acha tuh broh hapa nimefanya kui update huenda ikawa lakn wapiHizi simu zina shida sana kwa upande wa finger print. Mimi nina redmi note 10 pro nayo ina hiyo shida.
Nimekutumia inbox kkTuma namba basi nikuelekeze