Nashindwa ku move on

Nashindwa ku move on

Some times unajiuliza mtu unaempenda akikuacha ina maana unakuta wewe ni mbaya sana au inakuaje unapendwa aisee unaweza uone hauna thaman ikabisa katika hii dunia.

Eee Mungu nisaidie tu niweze kusahau

Amua kwa dhati na utasahau
 
Hakuwa wako ndo maana kakuacha. Issue sio uzuri au u baya, Issue ni kuwa compatible. Raha ya kiatu kiku fit, kuna raha gani ya kuwa na kiatu kizuri hakikutoshi? Lia futa machozi, hivi jiulize, katika dunia hii Mungu hawezi kukupa mwanaume mmoja wa kwako atakayekuona wewe ndo kila kitu kwake? Kuna siku utashukuru alikuacha!
 
Hatutakiwi kumpenda bal unatakiwa uwe na hamasa kwake. Mpende Mungu wako na mpende jiran yako full stop....
 
Hakuwa wako ndo maana kakuacha. Issue sio uzuri au u baya, Issue ni kuwa compatible. Raha ya kiatu kiku fit, kuna raha gani ya kuwa na kiatu kizuri hakikutoshi? Lia futa machozi, hivi jiulize, katika dunia hii Mungu hawezi kukupa mwanaume mmoja wa kwako atakayekuona wewe ndo kila kitu kwake? Kuna siku utashukuru alikuacha!

Namwomba mungu
 
Namwomba mungu niione iyo siku
 
lady in action my dear, nahisi tangu naingia jf nakusoma unavyolia tu maskini. Ni yule yule mtu ambaye hadi alikutolea mahari nadhani au ni mwingine? Hujawahi kumove on?

Inawezekana sijawahi kupitia uliyoyapitia, but utaendelea kulia hadi lini, sema imetosha sasa. Huhitaji kulia tena, unadeserve kuwa happy. Maisha yako lazima yaendelee no matter what. Mungu alikuleta duniani kwa ajili ya kusudi maalumu. Siku ya mwisho ikifika, Una kitu chochote cha kuangalia nyuma na kusema " Mungu Ahsante kwa maisha niliyoishi? Au unakipi cha kuwa proud nacho?

Kuna muda tutalalamika hadi tunamkufuru Mungu. Unaona kama kuachika ndo mwisho wa maisha yako. But trust me, nimekuja kujua hakuna kitu cha muhimu kama "Afya bora, familia na amani ya moyo". Una Vitu vingi sana vya kuwa grateful navyo. Upo hai, una afya, una familia, una watu wanaokujali n.k. Hata siku moja hakuna siku utasema nina maisha perfect, but ukienjoy hata hivi unavyoviona ni vidogo kwako, basi maisha utayaona perfect. Usimtegemee binadamu mwingine kukupa furaha, Jipe furaha wewe mwenyewe. Maisha ni yako, hakuna mtu atakayeyaishi isipokuwa ni wewe mwenyewe. Kwa nini ujiharibie maisha yako?

Sema Mungu nakushukuru kwa maumivu niliyoyapata kwa mwanaume yule. Najua yule hakuwa wangu, ila alikuwa njia tu ya kunifikisha kwa mume uliyenipangia. Usichukulie Kila situation negatively, learn to have "the right perspective". Amini tu hakuwa wako, na Mungu alimuondoa kwako kwa kusudi maalumu kwa sababu alijua huko mbeleni angekukwamisha mahali.

Be grateful for every pain and experience. Anza mwanzo mpya, don't endure life, but rather learn to enjoy your life. Jione wewe una thamani, na lazima ufanye kitu kwa ajili ya maisha yako. Please Tafuta wanasaikolojia uongee nao, Usisahau na kuomba sana. Mungu atatenda kitu kwa ajili yako. Itafika siku utajicheka na kutamani hata kujipiga kofi ukikumbuka Ulivyokuwa unamlilia mtu asiye hata na habari na wewe. Hata ungekuwa mzuri kama malaika, alichokipanga Mungu kingetokea tu. My prayers are with you darlin
You have said it all. Thanks
 
Uhusiano bora ni Ule ukupao tabasamu, kicheko, na Uhuru wa Moyo na nafsi Yako.. Kwanza naomba ufute neno Mbaya kwa kuwa Kila Alichokiumba mwenyezi Mungu Amekiumba katika Ubora Wake.

Siku Zote Unapotaka kuanzisha Uhusiano na Mwanaume Unatakiwa kuwa makini na kila aina ya mienendo ya mwanaume umtakae...

unapoingia kwenye mapenzi unamaana kuwa unatafuta liwazo na bembelezo la kudumu ma sio mtu wa kukuumiza na Kukuliza kila kitu. lazima Utambue na Kuamini kuwa Mtu unayemchagua ni Sahihi na Atakufanya Uishi katika Amani na tulizo la Moyo...

Usilie kwa kuwa Umeachwa na unashindwa kupiga Hatua, Usilie kwa kuumizwa ma kupata maumivu ya moyo bali Shukuru mungu kwa kukuonyesha Njia Sahihi kabla Hujafika mwisho... Kulia na kuomboleza kwa mtu asiye na Muda na ww ni kutoutendea haki Moyo Wako.

Simama na ufute machozi Wanaolia na kuumizwa ni Wengi na sio ww tu. Usikate tamaa ya Maisha kwa kuachwa na Mmoja Wapo watakaoiona Thamani Yako.. Simama imara na Mungu Atakupigania
You are absolutely right
 
Lady in action, pole sana. Haya pia yatakua mapito. Moving on after breaking up you must pass through some stages.. Denial, Anger, Bargaining, Depression and finally Acceptance. It will take time a little bit, lakini ndo life hilo. I have experienced the same when dealing with overcoming crushes. Huyu wa mwisho nilimpenda hadi nikahisi nilikua ktk rlshp kabisa afu nika break up. Maumivu nayajua na kuna wakati unaona kabisa ume move on then unajikuta ka unaanza upya kurudi nyuma like trying to bargain. But ni ktk kuhangaika ku move on. Hakuna mtu mbaya na kila mtu ana mtu wake, kama kakuacha hakuwa wa kwako and you can't force it, keep yourself busy with your things, jichanganye na friends, family, and do what makes you happy kikubwa usivunje sheria. Life is meant to be enjoyable, pia kama we ni mtu wa kusali Usisahau Mungu yu pamoja nawe. Take your hobbies, do exercises, enjoy musics, whatever makes you happy by taking care of yourself. Help others and fight for ur own happiness usitegemee mtu mwingine ndo akufanye uwe happy, make others smile when they see u. Remember When u smile u smile with the world, but when u weep u weep alone.. Jitahidi huu ndo ubinadamu we have to learn in every situation happening to us. Just live, and don't afraid to share how u feel with someone u trust. And all in all ukijisikia kulia, lia tena sana tuu then nawa uso and put a smile on your face it's normal and okay to cry. Stay strong girl.!
 
It hurts to love someone and not be loved in return!
It's the worst feeling ever.
 
Uuuuh umeandika vyema sana
 
lady in action my dear, nahisi tangu naingia jf nakusoma unavyolia tu maskini. Ni yule yule mtu ambaye hadi alikutolea mahari nadhani au ni mwingine? Hujawahi kumove on?

Inawezekana sijawahi kupitia uliyoyapitia, but utaendelea kulia hadi lini, sema imetosha sasa. Huhitaji kulia tena, unadeserve kuwa happy. Maisha yako lazima yaendelee no matter what. Mungu alikuleta duniani kwa ajili ya kusudi maalumu. Siku ya mwisho ikifika, Una kitu chochote cha kuangalia nyuma na kusema " Mungu Ahsante kwa maisha niliyoishi? Au unakipi cha kuwa proud nacho?

Kuna muda tutalalamika hadi tunamkufuru Mungu. Unaona kama kuachika ndo mwisho wa maisha yako. But trust me, nimekuja kujua hakuna kitu cha muhimu kama "Afya bora, familia na amani ya moyo". Una Vitu vingi sana vya kuwa grateful navyo. Upo hai, una afya, una familia, una watu wanaokujali n.k. Hata siku moja hakuna siku utasema nina maisha perfect, but ukienjoy hata hivi unavyoviona ni vidogo kwako, basi maisha utayaona perfect. Usimtegemee binadamu mwingine kukupa furaha, Jipe furaha wewe mwenyewe. Maisha ni yako, hakuna mtu atakayeyaishi isipokuwa ni wewe mwenyewe. Kwa nini ujiharibie maisha yako?

Sema Mungu nakushukuru kwa maumivu niliyoyapata kwa mwanaume yule. Najua yule hakuwa wangu, ila alikuwa njia tu ya kunifikisha kwa mume uliyenipangia. Usichukulie Kila situation negatively, learn to have "the right perspective". Amini tu hakuwa wako, na Mungu alimuondoa kwako kwa kusudi maalumu kwa sababu alijua huko mbeleni angekukwamisha mahali.

Be grateful for every pain and experience. Anza mwanzo mpya, don't endure life, but rather learn to enjoy your life. Jione wewe una thamani, na lazima ufanye kitu kwa ajili ya maisha yako. Please Tafuta wanasaikolojia uongee nao, Usisahau na kuomba sana. Mungu atatenda kitu kwa ajili yako. Itafika siku utajicheka na kutamani hata kujipiga kofi ukikumbuka Ulivyokuwa unamlilia mtu asiye hata na habari na wewe. Hata ungekuwa mzuri kama malaika, alichokipanga Mungu kingetokea tu. My prayers are with you darlin
Daaah huu ushauri umeniponya mpk mie [HASHTAG]#thx[/HASHTAG]
 
Hujaamua tu mkuu mbona easy once you realize there is nothing left n nothing you can do let it go mkuu.. Mda mwingine tunategemea happiness kutoka kwa watu wengine badala ya kujitengenezea sisi wenye love yoself enough hakuna atakayekusumbua mkuu napita tu
 
lady in action my dear, nahisi tangu naingia jf nakusoma unavyolia tu maskini. Ni yule yule mtu ambaye hadi alikutolea mahari nadhani au ni mwingine? Hujawahi kumove on?

Inawezekana sijawahi kupitia uliyoyapitia, but utaendelea kulia hadi lini, sema imetosha sasa. Huhitaji kulia tena, unadeserve kuwa happy. Maisha yako lazima yaendelee no matter what. Mungu alikuleta duniani kwa ajili ya kusudi maalumu. Siku ya mwisho ikifika, Una kitu chochote cha kuangalia nyuma na kusema " Mungu Ahsante kwa maisha niliyoishi? Au unakipi cha kuwa proud nacho?

Kuna muda tutalalamika hadi tunamkufuru Mungu. Unaona kama kuachika ndo mwisho wa maisha yako. But trust me, nimekuja kujua hakuna kitu cha muhimu kama "Afya bora, familia na amani ya moyo". Una Vitu vingi sana vya kuwa grateful navyo. Upo hai, una afya, una familia, una watu wanaokujali n.k. Hata siku moja hakuna siku utasema nina maisha perfect, but ukienjoy hata hivi unavyoviona ni vidogo kwako, basi maisha utayaona perfect. Usimtegemee binadamu mwingine kukupa furaha, Jipe furaha wewe mwenyewe. Maisha ni yako, hakuna mtu atakayeyaishi isipokuwa ni wewe mwenyewe. Kwa nini ujiharibie maisha yako?

Sema Mungu nakushukuru kwa maumivu niliyoyapata kwa mwanaume yule. Najua yule hakuwa wangu, ila alikuwa njia tu ya kunifikisha kwa mume uliyenipangia. Usichukulie Kila situation negatively, learn to have "the right perspective". Amini tu hakuwa wako, na Mungu alimuondoa kwako kwa kusudi maalumu kwa sababu alijua huko mbeleni angekukwamisha mahali.

Be grateful for every pain and experience. Anza mwanzo mpya, don't endure life, but rather learn to enjoy your life. Jione wewe una thamani, na lazima ufanye kitu kwa ajili ya maisha yako. Please Tafuta wanasaikolojia uongee nao, Usisahau na kuomba sana. Mungu atatenda kitu kwa ajili yako. Itafika siku utajicheka na kutamani hata kujipiga kofi ukikumbuka Ulivyokuwa unamlilia mtu asiye hata na habari na wewe. Hata ungekuwa mzuri kama malaika, alichokipanga Mungu kingetokea tu. My prayers are with you darlin
You are so bright my friend thanks for your advice to our fellow
 
Back
Top Bottom