Nashindwa ku move on

Nashindwa ku move on

Nakuelewa kuliko unavyo jielewa, coz we are in the same situation.... i think we have bad luck....or may be its a bad dream kesho ikifika mambo yatakua poa.
 
Kwanza wanawake wa sasa hata kama atajifanya analalamika kuachwa sio kweli waseme tu wanalalamika mrija wa pesa za matumizi umekatika lakini sio mapenzi ya kweli
 
Pole sana in short.....msipende sana acheni percentage ya uncertainty, msijiamini sana maana mambo yakigeuka maumivu ni makali sana.

Iliyobaki moveon you deserve better lady in action
 
Last edited by a moderator:
lady in action my dear, nahisi tangu naingia jf nakusoma unavyolia tu maskini. Ni yule yule mtu ambaye hadi alikutolea mahari nadhani au ni mwingine? Hujawahi kumove on?

Inawezekana sijawahi kupitia uliyoyapitia, but utaendelea kulia hadi lini, sema imetosha sasa. Huitaji kulia tena, unadeserve kuwa happy. Maisha yako lazima yaendelee no matter what. Mungu alikuleta duniani kwa ajili ya kusudi maalumu. Siku ya mwisho ikifika, Una kitu chochote cha kuangalia nyuma na kusema " Mungu Ahsante kwa maisha niliyoishi? Au unakipi cha kuwa proud nacho?

Kuna muda tutalalamika hadi tunamkufuru Mungu. Unaona kama kuachika ndo mwisho wa maisha yako. But trust me, nimekuja kujua hakuna kitu cha muhimu kama "Afya bora". Una Vitu vingi sana vya kuwa grateful navyo. Upo hai, una afya, una familia, una watu wanaokujali n.k. Hata siku moja hakuna siku utasema nina maisha perfect, but ukienjoy hata hivi unavyoviona ni vidogo kwako, basi maisha utayaona perfect. Usimtegemee binadamu mwingine kukupa furaha, Jipe furaha wewe mwenyewe. Maisha ni yako, hakuna mtu atakayeyaishi isipokuwa ni wewe mwenyewe. Kwa nini ujiharibie maisha yako?

Sema Mungu nakushukuru kwa maumivu niliyoyapata kwa mwanaume yule. Najua yule hakuwa wangu, ila alikuwa njia tu ya kunifikisha kwa mume uliyenipangia. Usichukulie Kila situation negatively, learn to have "the right perspective". Amini tu hakuwa wako, na Mungu alimuondoa kwako kwa kusudi maalumu kwa sababu alijua huko mbeleni angekukwamisha mahali.

Be grateful for every pain and experience. Anza mwanzo mpya, don't endure life, but rather learn to enjoy your life. Jione wewe una thamani, na lazima ufanye kitu kwa ajili ya maisha yako. Please Tafuta wanasaikolojia uongee nao, Usisahau na kuomba sana. Mungu atatenda kitu kwa ajili yako. Itafika siku utajicheka na kutamani hata kujipiga kofi ukikumbuka Ulivyokuwa unamlilia mtu asiye hata na habari na wewe. Hata ungekuwa mzuri kama malaika, alichokipanga Mungu kingetokea tu. My prayers are with you darlin
Shem katika Ubora wako wa Kila Siku
 
Last edited by a moderator:
Some times unajiuliza mtu unaempenda akikuacha ina maana unakuta wewe ni mbaya sana au inakuaje unapendwa aisee unaweza uone hauna thaman ikabisa katika hii dunia.

Eee Mungu nisaidie tu niweze kusahau

Mwandiko wako tu unaonyesha you are the best
 
Acha kujiendekeza wewe lia na anaelia na wewe unaumiaje wakati unaeumia kwajil yake anakula bata ??
 
Some times unajiuliza mtu unaempenda akikuacha ina maana unakuta wewe ni mbaya sana au inakuaje unapendwa aisee unaweza uone hauna thaman ikabisa katika hii dunia.

Eee Mungu nisaidie tu niweze kusahau

Haya unayoandika pamoja na hayo ya Heaven sent niliyoyasoma, binafsi nimekuwa nikiyaona kusababishwa na tabia ya 'ubinadamu'. Binadamu anataka aonekane ni tiofauti kabisa na viumbe wengine na mishafu nayo inachochoe tabia hiyo. Lakini tufahamu kwamba binadamu, pamoja na uwezo mkubwa wa brain tuliyonayo, bado kuna unyama ndani yetu.

Ubinadamu unatulazimisha tuishi kwa kile tunachoita ustaarabu hata kama siyo lazima. Kwa mambo haya ya mahusiano ndo kabisa! Unataka eti uwe na mume mmoja na mke mmoja, ukidhani ngombe na mbuzi hawajifahamu. Yes! Hawajifahamu lakini pia ndiyo sababu mbuzi jike au dume hawezi kujinyoga kwa kukataliwa na partner.

Kwa ufupi wana MMU, tunahitaji kuwa explorers. Lazima tuwe huru kuliko tunavyojidai. Usiolewe au kuoa ukakataa marafiki wa zamani. Nenda nao wakupe raha. Usijifunge na partner kwa wonga unaoletwa na mambo yasiyohusiana na psychology ya sex. Haya ni mahusiano yanayohitaji modifications kila wakati. re-label mahusiano yako kila wakati, basi!!
 
Uhusiano bora ni Ule ukupao tabasamu, kicheko, na Uhuru wa Moyo na nafsi Yako.. Kwanza naomba ufute neno Mbaya kwa kuwa Kila Alichokiumba mwenyezi Mungu Amekiumba katika Ubora Wake.

Siku Zote Unapotaka kuanzisha Uhusiano na Mwanaume Unatakiwa kuwa makini na kila aina ya mienendo ya mwanaume umtakae...

unapoingia kwenye mapenzi unamaana kuwa unatafuta liwazo na bembelezo la kudumu ma sio mtu wa kukuumiza na Kukuliza kila kitu. lazima Utambue na Kuamini kuwa Mtu unayemchagua ni Sahihi na Atakufanya Uishi katika Amani na tulizo la Moyo...

Usilie kwa kuwa Umeachwa na unashindwa kupiga Hatua, Usilie kwa kuumizwa ma kupata maumivu ya moyo bali Shukuru mungu kwa kukuonyesha Njia Sahihi kabla Hujafika mwisho... Kulia na kuomboleza kwa mtu asiye na Muda na ww ni kutoutendea haki Moyo Wako.

Simama na ufute machozi Wanaolia na kuumizwa ni Wengi na sio ww tu. Usikate tamaa ya Maisha kwa kuachwa na Mmoja Wapo watakaoiona Thamani Yako.. Simama imara na Mungu Atakupigania
 
Yani hizi siku mbili umekuwa na upako hatare. Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom