nashindwa ku download IDM kwenye lap top yangu MSAADA TAFADHALI!

shimola jr

Member
May 7, 2013
12
2
ninapojaribu kudownload chochote kwenye internet nashidwa,hata kuangalia movie siwezi inaniambia adobe player nakiwa kudownload nanikijaribu kudownload inaaniambia idm need to downloaded msaada nimejaribu lkn nimeshindwa!
 
aisee hata mm nina hiyo shida nasubiri majibu na mm yatakua na msaada sana
 
Idm haitumiwi bure kwahiyo lazima ulipe kiasi flani cha pesa otherwise utapata ya trial tu kwa siku 30 kisha utaitaji ununue. Mfuate aliyekwisha nunua akupe key product then uinstall unaweza tumia.
 
Ukidownload apps nying torrent zinakuwa na crack zake..so u cn use it for free..
 
kwa karibu sina mtu wa karibu wa kumuomba! je hakuna njia nyingine naweza kudownload?
 
mkuu KONGOBELO nimejaribu ku download u-torent lkn nashindwa kila nikanza kudownload inakuja arlet ya IDM ikiniambia my trial period is over yani kwa ujumla siwezi kudownload kitu kwenye net nifanyeje?
 
  • tumieni "DownThemAll" addon ya mozilla
  • Utaweza download hiyo Adobe flash Player pamoja na IDM plus crack ya IDM
Download links

aisee hata mm nina hiyo shida nasubiri majibu na mm yatakua na msaada sana
ninapojaribu kudownload chochote kwenye internet nashidwa,hata kuangalia movie siwezi inaniambia adobe player nakiwa kudownload nanikijaribu kudownload inaaniambia idm need to downloaded msaada nimejaribu lkn nimeshindwa!
 
unaweza tumia gchrome browser ni nzuri has built in adobe flash player. wakati unashughulikia hiyo idm
u can download free Idm with crack hapa isoftspot.com na pia kuna instruction ya kuidownload vry simple.
 
Jamani kama wewe unapenda vya free,IDM itakutesa sana,mimi nimeacha kuitumia natumia downloader nyingine!
 
Back
Top Bottom