Tumia IDM (internet download manager) ku-download torrent files(software ,movies,books etc) kwa speed ya ajabu

Ommydeking

Member
Sep 27, 2018
26
15
Watu wengi wamekuwa wakitumia torrent clients ( kama u-torrent, bittorrent, vuze etc) kwa ajili ya kupakua movies na apps zenye file kubwa kutoka kwenye torrents sites mbalimbali lakini huwa kunakua na changamoto ya speed kuwa ndogo unapokua unapakua file hasa lenye seeders wachache ....ili kuepukana na changamoto hyo leo ntakujuza njia ya kupakua files kwa kasi zaidi;

1. Firstly unatakiwa uwe na internet download manager (IDM) (tafuta new version na uifanyie cracking ili isikusumbue issue za licence)

2. Link internet download manager na browser unayotumia ( nakushauri utumie UC browser inakua simple kidogo kwa mtazamo wangu)

3.Unatakiwa ufungue account kwenye website inayoitwa www.seedr.cc ambako utapewa disk kama 2gb ( ila inaweza kufikia 5GB ukifanya sharing na rafiki zako kupitia referral code yako)

4.Ukishafungua hiyo account utakwenda kwenye torrent site unayopendelea either rarbg.to , katcr.co , limetorrent.cc 13377x.to etc

5 . Copy magnet link ya file unalotaka kudownload na paste kwenye seedr.cc account kuna sehemu imeandikwa paste na bofya kitufe cha jumlisha na file lako litahamia hapo na utaona mshale wa kupakua na utadownload kwa kasi nzuri xan
 
Attachments

  • 20181026_090255.jpeg
    20181026_090255.jpeg
    20.7 KB · Views: 153
  • 20181026_090558.jpeg
    20181026_090558.jpeg
    53.9 KB · Views: 137
SEEDR na megalinz zinatofautiana majukumu?
Kwamba huko sdr una paste tu link halafu una download kwa idm ama nayo ni cloud storage host..
Asante kwa ufafanuzi.
 
Seedr.cc inachokifanya ni kugeuza torrent file format kwenda kwenye direct download link format
 
IDM hatar sana hii kitu sema sida yake ni ku clear dashboard kwangu haikubali inanitaka niji sajili
 
Watu wengi wamekuwa wakitumia torrent clients ( kama u-torrent, bittorrent, vuze etc) kwa ajili ya kupakua movies na apps zenye file kubwa kutoka kwenye torrents sites mbalimbali lakini huwa kunakua na changamoto ya speed kuwa ndogo unapokua unapakua file hasa lenye seeders wachache ....ili kuepukana na changamoto hyo leo ntakujuza njia ya kupakua files kwa kasi zaidi;

1. Firstly unatakiwa uwe na internet download manager (IDM) (tafuta new version na uifanyie cracking ili isikusumbue issue za licence)

2. Link internet download manager na browser unayotumia ( nakushauri utumie UC browser inakua simple kidogo kwa mtazamo wangu)

3.Unatakiwa ufungue account kwenye website inayoitwa www.seedr.cc ambako utapewa disk kama 2gb ( ila inaweza kufikia 5GB ukifanya sharing na rafiki zako kupitia referral code yako)

4.Ukishafungua hiyo account utakwenda kwenye torrent site unayopendelea either rarbg.to , katcr.co , limetorrent.cc 13377x.to etc

5 . Copy magnet link ya file unalotaka kudownload na paste kwenye seedr.cc account kuna sehemu imeandikwa paste na bofya kitufe cha jumlisha na file lako litahamia hapo na utaona mshale wa kupakua na utadownload kwa kasi nzuri xan
Ahsante mkuu nimejiunga fresh kabisa link hii hapa wadau jiungeni kupitia hii link tupate gb nying aisee https://www.seedr.cc/?r=842368
 
IYO SPACE YAKE MBONA NDOGO? KWAMFANO MI NATAKA KU DOWNLOAD FILE LINA GB 8 ITAKUBALI KWA IYO SPACE??
 
IDM hatar sana hii kitu sema sida yake ni ku clear dashboard kwangu haikubali inanitaka niji sajili
IDM peke yake inafanya kazi kwa speed kubwa mno. Bei yake haizidi USD 30 lakini una install computer nyingi.
 
Back
Top Bottom