Ni kawaida sn mtu akiwa hivyo na utaona mengi. Mm wangu nilimchukia nikawa sitaki ht kuongea nae lkn alikuwa akiondoka nammiss sn,namsumbua kwny simu hd anarudi home na akirudi nachukia namtukana sn.
Ni vitu ambavyo kiukweli kuvicontrol ni vigumu sn kwsbb inakuwa km vl vinaleta ahueni,yaan yy anavyofanya hivyo anapata ahueni kutokana na magumu ya mimba anayopitia. Cha muhimu vumilia tu.