haah,haah inabidi nicheke,ananambia alipiga cm jana sa 3 uck akakuta nipo busy,eti nilikuwa naongea na wanawake zangu.daah huruma
haah,haah inabidi nicheke,ananambia alipiga cm jana sa 3 uck akakuta nipo busy,eti nilikuwa naongea na wanawake zangu.daah huruma
Mkuu, Simu uliyokuwa unaongea nayo ilipokatwa, hukuona missed call ya mkeo?
Niliiona na nilipoipoipiga akagoma kupokea, nilizidi sana akampa housegirl apokee, of coz nimejifunza mengi, maana hata yeye baadae ananiambia sio yeye ni mimba
Sasa kama alishakwambia kwamba hali yake hiyo inasababishwa na mimba, ambayo ni zao lako pia...why unawaza kuchepuka?
Fahamu mabadiliko ya mwenzako kulingana na hali na wakati alionao..usijump into stupid conclusions (sorry for this)
mijitu mingine hayana aibu kabisampe huyo... hoovyooo si kidogo, et nashawishika tafta dem wa pemben...