Yaani ni shida sana. We jamaa huko Hungumalwa ulifika lini?
Kawaida kila mimba ina tabia zake.
mimba ndio zilivyo, mood ina swing kama imelewa. Kuna saa unataka hadi kumla mtu, kesho yake hutaki kumwona, labda unamtaka balozi.
Trust me anayoyapitia ni magumu zaidi.
nakusoma Kongosho,kiukweli haya nilikuwa napewa kama stori sasa ninapa uzoefu.kuna mda anaweza kukufosi uongee nae kwa 4n hata kama upo busy na job
mpe huyo... hoovyooo si kidogo, et nashawishika tafta dem wa pemben...Hovyooo!fanya uzinzi wako ila akijua kusamehe ni ngumu,na uwe tayari kuvumilia kisasi chake,mfanyie unyama mwanamke akiwa mZima,lkn akiwa kwny hyo hali usithubutu,maumivu yake hayasahauliki na ndoa yko bado changa,jiheshim!
haah,haah inabidi nicheke,ananambia alipiga cm jana sa 3 uck akakuta nipo busy,eti nilikuwa naongea na wanawake zangu.daah huruma
Wakuu nimeoa nina mwaka mmoja.
Shemeji/wifi yenu ana mimba,kwa kweli kipindi fulani akawa na mapenzi mazito sana na mimi,kiasi kwamba nikiwa field,wikendi lazima anifate,usiku tunaongea na simu mpaka saa 6.
Bandugu amebadilika ghafla,simu anampa house girl kupokea,text hajibu.
Akichoka kelele za ring tone anazima.
Hata sijui nifanyeje,kazi haziendi huku mbali nilipo.
Daaaah,majanga
tarajia booonge la handsome linakuja
Haukujiandaa vizuri,jiulize ni kitu gani umekifanya cha kumkera manake mimba za digital zina hasira sana na kuzira..
tarajia booonge la handsome linakuja