MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 877
- 1,781
Jamani freedom is coming tomorrow, nawaombeni WATANZANIA wenzangu vijana tushirikiane kuliokoa hili Taifa kutoka mikononi mwa watu wachache wenye Nia ovu juu ya Taifa letu.
Sambamba na hilo tuone jinsi gani tunaweza kuilinda amani yetu kwasabab ni kazi ngumu sana kuitafuta tena.
Hata hivyo, ni vyema sisi kama vijana kutafuta njia sahihi ya kushinikiza upatikanaji wa katiba na/au tume huru ya uchaguzi ili kumrudishia raia wa Tanzania nguvu ya kuamua amuwrke nani na amtoe nan madarakani mudo wowote uchaguzi unapofika.
Hii dhana ya kiongozi kuonekana kama mfalme au malkia ni chanzo cha MAOVU mengi na ukiukwaji wa haki za binadamu.
Uhalisia ni kwamba kiongozi yeyote ni muajiriwa wa wananchi haijalishi awe kiongozi wa kisiasa au lah ila wote ni waajiriwa wa wananchi.
Vijana tuwe pamoja na lengo liwe ni kuitakia kila lakheri nchi yetu.