FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Umeshindaje?Hapana, sio maana yake.
Kwahiyo usilete janja janja.
Umeshindaje?Hapana, sio maana yake.
Kwahiyo usilete janja janja.
Aisee kama ni hivi baaaaasi leo mwishoShikamoo humaanisha hivi...nipo chini ya miguu yako, mimi si lolote kwako, sina thamani juu yako, nakutukuza, unachoagiza kwangu kutekeleza ni wajibu, mimi ni dhaifu kwako, ukitaka kunipiga nipige tu hata siwezi kujitetea kwako mkuu nk.
Kwa muktadha huu inabidi shikamoo ihifadhiwe maktaba ya Taifa.
Sio kila cha aliefanikiwa unaweza kuiga , wengine wanafanikiwa kwa kufanya unyama mwingiHabari za muda huu wana JF
Wanasema ukitaka kufanikiwa ni kuiga waliofanikiwa katika nyanja ambazo unaweza ukapita...
Inakera sana uko nchi za watu mdogo kwa mkubwa wanasalimiana kutokana na nyakati na salamu zao ziko balance....
Asubuhi ni GOOD MORNING mdogo anaweza akaipokea salamu hii kutoka kwa mkubwa na ikawa safi tu, mchana na jioni ni hivyo hivyo!
Huku kwetu mie naona hatupati maendeleo sababu ya hii salamu ya SHKAMOO
Haiwezekani unampa mtu shkamoo halafu unamuadabisha kwa adhabu huko makazini, hali hii inadhoofisha utendaji wa kazi in maximum....
Mtu mzima asipo ipata shkamoo basi mambo hayaendi! Nashauri zitumike salamu ambazo zitaleta mizania sawa kwa rika yoyote ili kushea mambo kwa uwazi zaidi.
Anyway nitaendelea kuandika hoja zangu ila niishie hapo kwasasa!
Karibuni kwa huu mjadala![]()
Habari za muda huu wana JF

silazima ifutwe, usiitumie tu. ukiachana NATO hutakua umevunja sheria.Et shika yako niachie yangu"
shikamoo imeanza kudharaulika muda ifutwe 2
Ndio Inatumika Saana Tu
Salamu kama hiyo uliyoanza nayo mtoa mada, ndio iko poa.
#ShikamooIfutwe

Marahabaa kijana mwenye roho mbaya.Habari za muda huu wana JF
Wanasema ukitaka kufanikiwa ni kuiga waliofanikiwa katika nyanja ambazo unaweza ukapita...
Inakera sana uko nchi za watu mdogo kwa mkubwa wanasalimiana kutokana na nyakati na salamu zao ziko balance....
Asubuhi ni GOOD MORNING mdogo anaweza akaipokea salamu hii kutoka kwa mkubwa na ikawa safi tu, mchana na jioni ni hivyo hivyo!
Huku kwetu mie naona hatupati maendeleo sababu ya hii salamu ya SHKAMOO
Haiwezekani unampa mtu shkamoo halafu unamuadabisha kwa adhabu huko makazini, hali hii inadhoofisha utendaji wa kazi in maximum....
Mtu mzima asipo ipata shkamoo basi mambo hayaendi! Nashauri zitumike salamu ambazo zitaleta mizania sawa kwa rika yoyote ili kushea mambo kwa uwazi zaidi.
Anyway nitaendelea kuandika hoja zangu ila niishie hapo kwasasa!
Karibuni kwa huu mjadala![]()

Marahabaa kijana mwenye roho mbaya.