the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 760
- 920
Wakuu natumai mmeshinda salama, najuwa wengi mko busy na mchakato mzima wa VP na mstakabali wa Taifa letu. Ila ni pendekezo tu kwanini vyombo vya habari kama TBC kwa kipindi hichi cha Maombolezo wasimkaribishe Mzee Mwinyi atuambie mawili matatu wampe hata masaa 3 na amini ana mengi ya kutuambia.
Hili wazo limekuja baada ya kuona kwenye msiba walimkatisha apewe mda wake atupigie story kidogo.
Hili wazo limekuja baada ya kuona kwenye msiba walimkatisha apewe mda wake atupigie story kidogo.