Nashangazwa na wanaoendelea kuumizwa

Kama Kweli umempenda mtu kwann ufiche hisia zako juu yake, mie huwaga naonesha hisia zangu dhahiri kwa mtu nimpendae ikitokea naumizwa ni ajali tu kazini hata Mungu kasisitiza amri ya upendo
 
Hongera ba ndugu ila me siachi....kuna mtu mmoja tuu ndo nmemruhusu maishani kuniumiza, nmempenda sana huyu dada keshanipiga vibuti mara mbili ...na najipanga kwa gear nyingine..ntaacha pale atakapoolewa....siku moja nkimuoa ntaleta uzi hapa....jf
 
Back
Top Bottom