Nashangazwa na wanaoendelea kuumizwa

Nashangazwa na wanaoendelea kuumizwa

Uliathirika kisaikolojia ulipoumizwa, ndo maana unawashangaa wenzako leo, hata hivyo unajifariji tu, kuumia kuko palepale, sema maumivu yanakuwa ya kiwango cha chini ukilinganisha na ulivyoumizwa 2013, au umeondoka katika ubinadamu yaani unakuwa na mpenzi /mke lakini humpendi na lengo lako umuumize wewe, utakufa ukiwa na dhambi nyingi sana
Dhambi ni nn????
 
Sana. Ila ni wachache sana wanaobahatika kupenda wanapopendwa. Wengi wetu ama tunapenda tusipopendwa au tunapendwa tusipopenda!
inaumaga umempenda sana mdada halafu anakwambia 'wewe siyo type yangu' teh teh mapenzi nomaaa
 
Yaani inaumiza kweli hii fomula...laiti tungekuwa tunapenda tunapopendwa.....hakika dunia isingekuwa uwanja wa fujo
Sana...inaumiza mnoo, usione watu wanajichekesha ukahisi mahusiano yao yako vizuri aaah wapi!

Watu wanalia vilio vya ndani ndani
 
Sana...inaumiza mnoo, usione watu wanajichekesha ukahisi mahusiano yao yako vizuri aaah wapi!

Watu wanalia vilio vya ndani ndani
Ni shida, watu wanakufa na tai shingoni. Hamna namna maisha lazima yasonge kibishi bishi hivyo hivyo
 
Naona hii wiki yote ni ya kuhamasisha ungangali kwenye mapenzi
 
Ni shida, watu wanakufa na tai shingoni. Hamna namna maisha lazima yasonge kibishi bishi hivyo hivyo
Inabidi utafute furaha nyingine ili iwe mbadala ndo utaweza kurandana na hii dunia!
 
tatizo la kuumizwa kila mtu wa jinsia tofauti unamuona mbaya,hapo ndio utasikia mtu anakuambia "wanaume wote ni mbwa" huwa nacheka sana
Wote ni mbwa na baba yao ni mmoja[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom