Nashangazwa na wanaoendelea kuumizwa

Nashangazwa na wanaoendelea kuumizwa

Tangu nilipoumizwa mara ya kwanz Na ya mwisho 2013 cjawah kuumizwa tena.kwann watu wanapenda tena with so much love kulko Ile previous afu wanakuja kuumia tena yan unakuta mtu analia katika relationship hata nne.
Pain change people
 
Kama Kweli umempenda mtu kwann ufiche hisia zako juu yake, mie huwaga naonesha hisia zangu dhahiri kwa mtu nimpendae ikitokea naumizwa ni ajali tu kazini hata Mungu kasisitiza amri ya upendo
 
kila kuumizwa kuna viwango vyake, ukiona hujaumia kabisa hata kidogo ujue basi ulishapoteza sifa ya kibinadamu,

Tunachojitahidi kufanya ni kupunguza kiwango cha maumivu ya mapenzi kutoka maumivu ya miezi au miaka kadhaa na kuwa maumivu ya dakika kadhaa au masaa ama siku kadhaa tu.
Una akili sana
 
Hongera ba ndugu ila me siachi....kuna mtu mmoja tuu ndo nmemruhusu maishani kuniumiza, nmempenda sana huyu dada keshanipiga vibuti mara mbili ...na najipanga kwa gear nyingine..ntaacha pale atakapoolewa....siku moja nkimuoa ntaleta uzi hapa....jf
 
Back
Top Bottom