Nasema tumechoka na mfumo DUME

Nasema tumechoka na mfumo DUME

Hivi mfumo dume ndiyo nini? na hebu nipeni mfano japo nchi moja tu ambayo haina mfumo dume?
 
wanataka wabebwe ndo wazione fursa, mimi sipendi kuona mwanamke analalama kila kitu, hebu na sisi tuonyeshe uwezo,natolea tu mfano mdogo, ukija humu jf ukiingia majukwaa kama sayansi na tech, siasa, biashara, wanawake ni wachache, ila ukiingia kule kwenye mapenzi wamejaaa hakianani hakuna post inayowapita
words...................kama watapita hapa watajionea, pia kwenye siasa nako hawaonekana atleast kufahamu mambo yanvyokwenda, bora dada huwa unajijia jukwaa la siasa na kumwaga hoja
 
au ubabe kama wa makinda unategemea nani atakupa uongozi, yani aisee wanawake we still have a long way to go, kwanza tubadilike sisi

Samahani Dada umenifanya nicheke kwa majibu yako maana unasema kweli tupu. Nimekupenda bure.
 
Wanawake waliojitambua wanapata heshima na manufaa katika mfumo uliopo.wanawake wengi tunapenda tupate vyote favour ya uanamke na majukumu hatutaki.
Yaan mwanamke sehemu ya kutoa rushwa ya pesa we unataka utoe ya ngono.wanaosafiri anataka afanye biashara then hotel alipiwe na third party wakati hiyo ni gharama ya biashara.
Vyuoni wanataka walale club wachelewesha assigent then aende kurembua kwa dr au prof akiombwa aseme kanyanyaswa.

Kutwa kupost picha za waume au mabwana zetu na kutukanana bila kupeana habari za fursa.kupenda mafanikio ya haraka sana ,Kutafsiri maisha kama ni kuvaa na gari ata nyumba atujengi.

Kwa kifupi wanaume mmetuendekeza sana mpaka tuna dhani tulikuja duniani kustarehe na kufa.
Mwanamke ukijitambua hakuna ata wa kusogeza hatua moja kwenye shamba au kiwanja chako.

Umesahau wanaotupia picha za uchi mitandaoni kwa hiyari yao. Sasa hawa sijui anawanyanyasa nani na wanataka waheshimiwe?
 
Sijui nianze vipi, lakini kwa ufupi kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu sisi wanawake wa tanzania nasema kwa niaba ya wengi tumechoka na mfumo dume.
Kila mahali unaenda unakuta midume imejitutumuaaaaaa, mara miruzi mara weweeeeeeeee tumechoka aaaaaaaaah.
Haya tuanze na majumbani mwetu, kila kitu kipaumbele anapewa mwanaume. Shule yeye, urithi yeye, nyumba yeye.
Tukija makazini hivyo hivyo, tunafanywa kama vitu, hupati kazi mpaka utangulize kitu. jamani tumechoka.
Tukija katika uchumi, tunadhalisha sana lakini hatuthaminiwi juzi shangazi yangu karudi nyumani kakuta mjomba kauza mazao yote aliyolima.

Tumejaribu tumeshaweza kuwa na benki yetu, maana nyungine zimekuwa zikitunyanyapa hazijui mahitaji yetu. Kutokana na malaamiko yaliyomo vyuoni tunataka chuo chetu kikuuu tusinyanyaswe kijinsia na mijibaba mikware yenye kutoka udenda ionapo mwanamwali.

Bado kwenye nafasi za uongozi za nchi hii tumesahauliwa tunadharauliwa sana. Historia ambayo imepindishwa kuhusu uhuru wa nchi hiii ni budi sasa iandikwe upya, sisi tulishiriki kwa hali na mali zaidi tena zaidi kupigania uhuru wa nchi hii, tulikuwa wahamasishaji wakubwa mikoani kuanzia usangi mpaka uyole. Mtwara mpaka Ngara. Kama si wanawake wa nchi hii usingepatikana.

Kwa kumalizia ni haki katika nchi hii, sisi kinamama wa nchi hii mifumo ya mahakama imejaa mfumo dume tunaonewa mahakamani hatupati haki, ni wakati sasa na sisi wanawake tupate mahakama zetu. Mashauri yote ya kinamama na yanausisha wanawake yapelekwe kwenye mahama hizo, natena nasema na sisi ni rahia wa nchi hii.

Na hii posting yako ina-reflect mfumo dume - lack of coherence and evidence?!
 
Kama ni mwanafunzi basi DS imekuvuruga, kama ni wale akina nanii basi u-feminist utakumaliza!!! play your part we mama acha lawama hakunaga usawa duniani!!
 
1.Wanawake nyie wenyewe kwa wenyewe HAMPENDANI
Jaribu kuangalia michango au sikiliza mazungumzo ya wanawake yakiwa yanamhusu mwanamke mwenzao hakika utagundua kabisa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake,angalia hata katika majukwaa kama haya,HAKUNA mwanamke anayempa mwanamke mwenzie ushauri wakujenga,ni ushauri wenye hasira,chuki,wivu na upumbavu ndani yake ili tu mwenzie aharibikiwe,kisha baadae ndo huwa wakwanza kumcheka..

2.Ni kutokana na MUNGU alivyoagiza
kwa hiyo siyo mfumo dume bali ni mfumo wa maisha ndivyo ulivyo,kimsingi mwanamke ni mtu anayehitaji kuongozwa na pia ni mtu anayehitaji kulindwa na siyo kulinda,jaribu kuangalia hii,mwanamke mtu mzima yupo radhi amchukue mtoto mdogo wa kiume wa miaka miwili amsindikize dukani usiku ila akisindikizwa na mwanamke mwenzie hujiona hayupo salama.
 
Mwambie na mungu hilo jambo maana hata biblia zinaandika mwanaume ndio kichwa na c mwanamke. Tatizo la wanawake wengi wa sasa ni kutaka kuwa wanaume. Kama vp muulize mamayako je alikuwa anampanda kichwani babayako? Tatizo lingine ni malezi!!
 
Kiukweli kama tutaendelea kulalamikia kila kitu kinachofanywa na wanaume kwa qualification walizonazo kamwe hatutatatua tatizo linalotukabili sisi wanawake.

wewe kama mwanamke unalalamikia kila kitu bila kutoa suluhisho nini kifanyike bado hujasaidia lolote. Kwanza wewe kama mwanamke hebu jiulize hili swali dogo tu kwenye kipengele cha ELIMU.

Japo c wote ila hali halisi iko hiv:
NISEMEE KIPENGELE CHA "CUT OFF POINTS IN EDUCATION TRANSITION" kuanzia mtihan wa darasa la saba mtoto wa kike hicho kipengele kinatufavour ktk ngazi zote mpaka kuingia elimu ya juu, Huko nako sisi mabinti tulio wengi tunataka tupewe max za bure na lecturers sasa kesho na kesho kutwa umehitim kwa kupitia huo mkondo obviously utakuwa huna skills na knowledge zinazotakiwa, Haiishii hapo kwenye kutafuta kazi kwa kuwa umebebwa mwanzo mwisho hauko competent na huko pia unataka ubebwe kwenye usaili ili upate kazi ambayo huna uwezo nayo..

kwa mtindo huu tutatoka? HAIWEZEKANI HATA KIDOGO,

MFUMO DUME HATUWEZ KUUTOA KWA BLAAH BLAAAH HIZI ZA MANENO TU, TUNATAKIWA TUONGEE KWA VITENDO, jikubali,chapa kazi kwa bidii matendo yako yakukomboe na c hizi hadithi za maneno tu. La cvyo hizi zitabaki tu kuwa hadithi za kila siku..

MABADILIKO HAYA YAANZE NA WEWE KUJITOA HUKO KWA VITENDO NA C VINGINEVYO.
 
Mmmh!! binafsi mtoa mada naomba niwe tofauti nawe kwa namna fulani. Kwa sasa sehemu kubwa ya mfumo dume imebaki kihisia zaidi. wanawake tumeachiwa tufanye sawa sawa na wanaume, tumesoma shule mchanganyiko na tumefanya mtihani mmoja wa taifa, kazi tunaomba wote mwenye kupata anapata awe me au ke, siasa tupo hutukatazwi ukijua kuuza maneno kauze, kuna sehemu nyingi za kutetea wanawake kama TGNP, USTAWI WA JAMII, chama cha wanasheria wanawake n.k SASA tunataka nini zaidiiiiiiii?????????????

Siku hizi wanawake tunaheshimika hata tupitapo kwa kuwa hata wanaume wanajua wanawake wanauwezo kama wakiamua, kuna wakurugenzi, mameneja wangapi wanawake siku hizi. hapana nafasi tunayo bhana.

Nachelea kusema sina mgogoro na mfumo dume, nimeingia sehemu nyingi ambazo zina wanaume lakini nahudumiwa kwa haki, mimi hicho kibank cha wanawake hata sinaga habari nacho. na uanamke wangu na FIGHT CRDB, NMB, ACB
na nafanikiwa bila hongo hata sh kumi.

SORRY NI MTAZAMO TU.

Hongera wajinga ndiyo waliwao!
 
Duuh kazi kweli kweli, tatizo lenu Wanawake fikra zenu bado hamjazikomboa. Chuo kikuu utakuta wote tuna mkopo Lakini "boom" likija unajibana kwangu. Mwanamke akiingia saloon anataka asukwe na mwanaume na si mwanamke mwenzie. Mwanamke akifanya jambo hata kama sio baya ki vile Wanawake wenzake ndio wa kwanza kuponda. "If you want to change the world you must change you first".
 
Mie nitoe humoo, Mwanaume ndo kiongozi wa mwanamke. .
Nimekupenda bureeeeee kim nana”hivi una mchumba wewe`au yapo madowezi tu•
Kwa sentesi hiyo wewe inaonekana umetoka kwenye familia yenye maadili bora sana”
 
Back
Top Bottom