Nasema tumechoka na mfumo DUME

Nasema tumechoka na mfumo DUME

Utapata wafuasi wengi wa jinsia zote!!! Nawe utakuwa MwenyeKitanda mkuu!! Miss X (chairman)
 
Last edited by a moderator:
Nimekupenda bureeeeee kim nana”hivi una mchumba wewe`au yapo madowezi tu•
Kwa sentesi hiyo wewe inaonekana umetoka kwenye familia yenye maadili bora sana”

We si hunitakii....unajua nini Bonge nilisoma kitabu fulani hivi kinaitwa haki za wanawake katika uislamu, kimenifungua Sanaa...

Watu lazima wajue kuna usawa na kufanana kwa haki...mfano Kimaumbile wanawake tunajulikana walaini, kama kuna task ya kunyanyua chuma kwa umbali wa mita 200, Tuki apply kufanana kwa haki basis huyu mwanaume mkakamavu na mwanamke mlaini watanyanyua umbali ule ule,
Tukiapply usawa basi huyu mwanamke atanyanyua kwa kiasi cha nguvu zake, na mwanaume pia vile vile...

Mimi naamini katika usawa na si kufanana kwa haki, kwa sababu kimaumbile hatufanani, na bahat mbaya hao wanaharakati wanachanganya usawa na kufanana kwa haki....hayo mambo ya haki sawa sikubaliani nayooo....

Na ukichunguza kwa makini kelele za mfumo dume na haki sawa zilianza baada ya mapinduzi ya viwanda ili kuwatoa wanawake majumbani wakafanye kazi viwandani kuziba nafasi za wanaume ambao walikuwa wajeuri katika kudai haki zao, migomo kila kukichaa...wanawake tunajulikana waoga tusingeweza kuleta vuruguu.

sasa jambo LA kujiuliza ni link Bepari amewahi kuumizwa na matatizo ya watu badala ya kuwaza faida....kuna watu wanafaidika nyuma ya kelele hizi za mfumo dume na haki sawa
 
Sijui nianze vipi, lakini kwa ufupi kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu sisi wanawake wa tanzania nasema kwa niaba ya wengi tumechoka na mfumo dume.
Kila mahali unaenda unakuta midume imejitutumuaaaaaa, mara miruzi mara weweeeeeeeee tumechoka aaaaaaaaah.
Haya tuanze na majumbani mwetu, kila kitu kipaumbele anapewa mwanaume. Shule yeye, urithi yeye, nyumba yeye.
Tukija makazini hivyo hivyo, tunafanywa kama vitu, hupati kazi mpaka utangulize kitu. jamani tumechoka.
Tukija katika uchumi, tunadhalisha sana lakini hatuthaminiwi juzi shangazi yangu karudi nyumani kakuta mjomba kauza mazao yote aliyolima.

Tumejaribu tumeshaweza kuwa na benki yetu, maana nyungine zimekuwa zikitunyanyapa hazijui mahitaji yetu. Kutokana na malaamiko yaliyomo vyuoni tunataka chuo chetu kikuuu tusinyanyaswe kijinsia na mijibaba mikware yenye kutoka udenda ionapo mwanamwali.

Bado kwenye nafasi za uongozi za nchi hii tumesahauliwa tunadharauliwa sana. Historia ambayo imepindishwa kuhusu uhuru wa nchi hiii ni budi sasa iandikwe upya, sisi tulishiriki kwa hali na mali zaidi tena zaidi kupigania uhuru wa nchi hii, tulikuwa wahamasishaji wakubwa mikoani kuanzia usangi mpaka uyole. Mtwara mpaka Ngara. Kama si wanawake wa nchi hii usingepatikana.

Kwa kumalizia ni haki katika nchi hii, sisi kinamama wa nchi hii mifumo ya mahakama imejaa mfumo dume tunaonewa mahakamani hatupati haki, ni wakati sasa na sisi wanawake tupate mahakama zetu. Mashauri yote ya kinamama na yanausisha wanawake yapelekwe kwenye mahama hizo, natena nasema na sisi ni rahia wa nchi hii.

Kwenye uongozi unataka mpewe pia? Piganeni. Kama msiposhinda mjue bado, kazeni buti.
 
We si hunitakii....unajua nini Bonge nilisoma kitabu fulani hivi kinaitwa haki za wanawake katika uislamu, kimenifungua Sanaa...

Watu lazima wajue kuna usawa na kufanana kwa haki...mfano Kimaumbile wanawake tunajulikana walaini, kama kuna task ya kunyanyua chuma kwa umbali wa mita 200, Tuki apply usawa basis huyu mwanaume mkakamavu na mwanamke mlaini watanyanyua umbali ule ule,
Tukiapply kufanana kwa haki basi huyu mwanamke atanyanyua kwa kiasi cha nguvu zake, na mwanaume pia vile vile...

Mimi naamini katika kufanana kwa haki, kwa sababu kimaumbile hatufanani, hayo mambo ya haki sawa sikubaliani nayooo....

Na ukichunguza kwa makini kelele za mfumo dume na haki sawa zilianza baada ya mapinduzi ya viwanda ili kuwatoa wanawake majumbani wakafanye kazi viwandani kuziba nafasi za wanaume ambao walikuwa wajeuri katika kudai haki zao, migomo kila kukichaa...wanawake tunajulikana waoga tusingeweza kuleta vuruguu...

Kim nana I LOVE YOU.
 
Last edited by a moderator:
Halafu Shy land hayo malove ya ghafla ghafla utaniua kwa preshaa....khaaa...
 
Last edited by a moderator:
Nikuongeze i love you nyingine?? kwa kuedit na kuwa tamu zaidi? tafdhali Kim nana nijibu usije ukafa na presha za i love you kama unavyosema.

Sa hivi naona aibuuu, ntakujibu keshoo...
 
Last edited by a moderator:
Sijui nianze vipi, lakini kwa ufupi kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu sisi wanawake wa tanzania nasema kwa niaba ya wengi tumechoka na mfumo dume.
Kila mahali unaenda unakuta midume imejitutumuaaaaaa, mara miruzi mara weweeeeeeeee tumechoka aaaaaaaaah.
Haya tuanze na majumbani mwetu, kila kitu kipaumbele anapewa mwanaume. Shule yeye, urithi yeye, nyumba yeye.
Tukija makazini hivyo hivyo, tunafanywa kama vitu, hupati kazi mpaka utangulize kitu. jamani tumechoka.
Tukija katika uchumi, tunadhalisha sana lakini hatuthaminiwi juzi shangazi yangu karudi nyumani kakuta mjomba kauza mazao yote aliyolima.

Tumejaribu tumeshaweza kuwa na benki yetu, maana nyungine zimekuwa zikitunyanyapa hazijui mahitaji yetu. Kutokana na malaamiko yaliyomo vyuoni tunataka chuo chetu kikuuu tusinyanyaswe kijinsia na mijibaba mikware yenye kutoka udenda ionapo mwanamwali.

Bado kwenye nafasi za uongozi za nchi hii tumesahauliwa tunadharauliwa sana. Historia ambayo imepindishwa kuhusu uhuru wa nchi hiii ni budi sasa iandikwe upya, sisi tulishiriki kwa hali na mali zaidi tena zaidi kupigania uhuru wa nchi hii, tulikuwa wahamasishaji wakubwa mikoani kuanzia usangi mpaka uyole. Mtwara mpaka Ngara. Kama si wanawake wa nchi hii usingepatikana.

Kwa kumalizia ni haki katika nchi hii, sisi kinamama wa nchi hii mifumo ya mahakama imejaa mfumo dume tunaonewa mahakamani hatupati haki, ni wakati sasa na sisi wanawake tupate mahakama zetu. Mashauri yote ya kinamama na yanausisha wanawake yapelekwe kwenye mahama hizo, natena nasema na sisi ni rahia wa nchi hii.

Mngekua hamtaki huo mfumo dume mmgeanza kupendana ninyi kwa ninyi,unakuta mwanamke ni mkuu kwenye kitengo fulani but crew yake yote kaajili midume tupu,mwanamke mwenzake akiomba ajira hapati.
Pendaneni kwanza ndio muanze kupambana na mfumo dume.
 
We si hunitakii....unajua nini Bonge nilisoma kitabu fulani hivi kinaitwa haki za wanawake katika uislamu, kimenifungua Sanaa...

Watu lazima wajue kuna usawa na kufanana kwa haki...mfano Kimaumbile wanawake tunajulikana walaini, kama kuna task ya kunyanyua chuma kwa umbali wa mita 200, Tuki apply kufanana kwa haki basis huyu mwanaume mkakamavu na mwanamke mlaini watanyanyua umbali ule ule,
Tukiapply usawa basi huyu mwanamke atanyanyua kwa kiasi cha nguvu zake, na mwanaume pia vile vile...

Mimi naamini katika usawa na si kufanana kwa haki, kwa sababu kimaumbile hatufanani, na bahat mbaya hao wanaharakati wanachanganya usawa na kufanana kwa haki....hayo mambo ya haki sawa sikubaliani nayooo....

Na ukichunguza kwa makini kelele za mfumo dume na haki sawa zilianza baada ya mapinduzi ya viwanda ili kuwatoa wanawake majumbani wakafanye kazi viwandani kuziba nafasi za wanaume ambao walikuwa wajeuri katika kudai haki zao, migomo kila kukichaa...wanawake tunajulikana waoga tusingeweza kuleta vuruguu.

sasa jambo LA kujiuliza ni link Bepari amewahi kuumizwa na matatizo ya watu badala ya kuwaza faida....kuna watu wanafaidika nyuma ya kelele hizi za mfumo dume na haki sawa

Mko wachache kama wewe kula lyke mama! Mfumo dume ni mtu mwenyewe!
 
Kumbe kim nana unapendwa na wengi aisee“ wakati mimi nimetia timu kwa parent wako juzi kufanya maintroduksheni“
Anyway hili somo ningependa uwape wanawake wenzio“kama watakua wametoka kwenye familia zenye mAadili mema kama wewe watakuelewa`
Ila kama wametoka kwenye familia za hovyohovyo kamwe na abadan hawawezi kukuelewa•
Mwisho kabisa unatumia kinywaji gani nimuambie waiter akuongezee•
 
Miss X bhana... kwa jinsi ulivyoingia kwa mikwala nikatarajia nitaona kuna sehemu umesema: "enough is enough, hii mijinadume imezidi sasa... hata kukojoa mkojo ndo yenyewe inataka kukojoa ikiwa imesimama... na sasa hatubali, tumechoka, tumevulimia hadi tumeshindwa kwahiyo lazima na sisi tukojoe mkojo tukiwa tumesimama!"
 
wanataka wabebwe ndo wazione fursa, mimi sipendi kuona mwanamke analalama kila kitu, hebu na sisi tuonyeshe uwezo,natolea tu mfano mdogo, ukija humu jf ukiingia majukwaa kama sayansi na tech, siasa, biashara, wanawake ni wachache, ila ukiingia kule kwenye mapenzi wamejaaa hakianani hakuna post inayowapita

hahahaaaa, hawataki kuumiza kichwa wao wamekalia mitindo ya kumkumbatia mwanaume.
 
Mwanasaikolojia wa Kimarekani Process Reek katika chapisho lake LA matokeo ya utafiti juu ya mwanamke na mwanaume anasema Ulimwengu wa mwanaume na mwanamke ni tofauti. Mwanamke hawezi kufikiri au ufanya mambo kama mwanaume kwa sababu wanaishi katika dunia mbili tofauti.....

Anaendelea kusema "kwa mujibu wa agano la kale mwanaume na mwanamke wametokana na mwili mmoja, Ingawa wametokana na mwili mmoja wana miili tofauti, ambayo haifanani kabisa ktk maumbile yake....Hawana hisia za aina moja, hawaonyeshi mwitiko wa aina moja ktk matukio na ajali mbalimbali
Wako kama sayari mbili zinazozunguka katika njia tofauti...wanaweza kukamiloshana na kuelewana lakini SIO KITU KIMOJA (SAWA)
Hii ndo sababu wanaweza kukaa pamoja, kupendana na wanaweza wasichokane...

Analinganisha roho ya mwanamke na mwanaume na anagunndua tofauti nyingi....anasema "inakinaisha (chosha) kwa mwanaume kwa Me kukaa na mwanamke anayempenda muda wote lakn hakuna kitu kizuri kwa mwanamke kama kuwa karibu na mwanaume anayempenda.

Mwanaume anataka abaki vile vile, lakin mwanamke anataka kuamka mpya kila siku...

Wanaume wanapokuwa wazee hukosa furaha kwa sababu wanapoteza Kazi walozokuwa wanazitegemea. wanawak wazee huwa na furaha kwa mtazamo wao huwa wameweza kumiliki vitu bora kabisa ambavyo MTU anawwza kutamani, nyumba na wajukuu wachache.....

Bonge the one darasa linaendelea
 
Last edited by a moderator:
mabinti shida kweli. hao wanaolalamika watakuwa mabinti au network search. hivi mnataka mpewe nini hasa mridhike?
 
Will Durant ktk mjadala mrefu anasema msichana ambaye sofa yake kubwa ni elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri tu, lakini hana ucheshi wa asili na ujanja wenye akili kidogo haelekei kufanikiwa kupata mume...Anasema asilimia 60 ya wanawake wenye elimu ya chuo kikuu hubaki bila waume....

Amesema mwanamke mmoja mashuhuri na msomi alilalamika kuwa hakuna aliye tayari kumuoa, alikuwa a asema "Ninaweza kuwa mke bora kuliko wengine. lakn bado wanawake wasio na elimu na umuhimu wowote kijamii wanaolewa, Mimi sitafutwi"

Hapa inaonekana hali ya kuvunjika moyo kwa mwanamke huyu ni tofauti na mwanaume yoyote. analalamka kwa nn hakuna mwanaume anayempenda
Me hhvunjika moyo pale tu ambapo anakuwa hawez kupata mwanamke chaguo lake au anamtaka lakin anashindwa kumpata...

Hisia za mwanamke na mwanaume zimepangwa hivi kwa makusudio maalum ya kuufanya muungano wa mke na mume uwe mzuri zaidi, imara na wenye furaha zaidi.
 
Kim nana nakufatilia unyao kwa unyao na
 
Last edited by a moderator:
Mwanasaikolojia wa Kike anahitimisha kuwa wanawake wote wanapenda kufanya kazi chini ya uangalizi wa mwingine, wanapenda kufanya kazi katika vyeo vya kawaida sio kama bosi...

Wanawake wote wanapenda kuhisi kuwa uwepo wao unatambulika na kuhitajika

Anaendelea kuwa anaamini mahitaji Haya mawili ya kiroho yanatokana na ukweli kuwa wanawake wanaongozwa na MIHEMKO (EMOTIONS) wakati wanaume huongozwa na AKILI....
Mara nyingi inaonekana kwamba si kwamba wanawake sio wana akili sawa na wanaume, Bali wakati Fulani huwazidi wanaume

Udhaifu wao pekee ni kuwa wana JAZBA sana . Kufikiri kwa wanaume kunatekelezeka zaidi, wanahukumu vizuri zaidi, na wanaaaelekeza wengine ( ni wakurugenzi) vizuri zaidi

Ubora wa roho (AKILI) ya mwanaume kuizidi ya mwanamke ni kitu kilichopangwa na maumbile yenyewe....
Jitihada yoyote mwanamke atayofanya kubadilisha ukweli huu itakuwa ni KUJISUMBUA BUREE....

Wanawake lazima waukubali uhalisia kuwa wako vile kwa sababu WANA MIHEMUKO SANA NA WANAHITAJI USIMAMIZI WA MWANAUME katika maisha yao.

Lengo kubwa LA maisha ya KE ni KUJIHAKIKISHIA HATIMA YAKE YA BAADAE. na akishalipata huziambia kwa heri shughuli zake nyingine
Ni mwoga kufanya mambo ya hatari.
uoga ni hisia za moyoni, ili kuzishinda KE anahitaji msaada wa ME....Kazii zozote zinazohitaji kufikiri muda wote zinamchosha...

Shy land kula tution ya buree
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom