Nasema tumechoka na mfumo DUME

Nasema tumechoka na mfumo DUME

Hii battle siiwezi ila kwa uongozi bora tunyimwe tu sasa mtu kama hawa ghasia anaongeaga nini au anatenda nini jamani?
 
Hii battle siiwezi ila kwa uongozi bora tunyimwe tu sasa mtu kama hawa ghasia anaongeaga nini au anatenda nini jamani?

au ubabe kama wa makinda unategemea nani atakupa uongozi, yani aisee wanawake we still have a long way to go, kwanza tubadilike sisi
 
SITAKI KUSIKIA :hand:KODI YANGU INAGHARAMIA MAMBO YA WANAWAKE PEKE YAKE. HII NI NCHI YETU SOTE WANAUME, WANAWAKE, WATOTO, VIJANA NA WAZEE. KAMA VIPI MUUNDE SEREKALI YENU:shock:
 
wanataka wabebwe ndo wazione fursa, mimi sipendi kuona mwanamke analalama kila kitu, hebu na sisi tuonyeshe uwezo,natolea tu mfano mdogo, ukija humu jf ukiingia majukwaa kama sayansi na tech, siasa, biashara, wanawake ni wachache, ila ukiingia kule kwenye mapenzi wamejaaa hakianani hakuna post inayowapita

Hahaaaa kulalama ni uvivu wa kufikiri tu mi sitak kuwa kwenye hili gademu kundi abadan!!!! Fursa zipo tuzitumie tupambane tutatoka tu kuna wanawake kbao hpa nchini wala sio celebrities bt wanaish maisha mazur zaid ya wabunge na mawazir whyyyy???? Waliona fursa na wakazitumia ipasavyo ss anaekaa na kulalama bila kuchukua hatua zake binafsi kwa nchi yangu hii navyoijua atasubir sana, so wanawake amkeni acheni utegemezi, acheni kutegemwa fursa zq kuonewa huruma, acheni kukesha kwny vigodoro na insta kulike kushindanisha magrup.pigen kazi period!
 
mh mwanamke hawezi kuwa na haki sawa na mwanaume abadani acheni kujipumbaza la muhimu ni kwamba kila mtu atambue nafasi yake iko wapi!hata uzunguni mwanaume kwenye mshahara uko juu kuliko mwanamke !ninavyoona mm mwanamke akiwa na msimamo anaweza kupata mafanikio zaidi ya mwanaume....nina marafiki kadhaa ambao si waafrika lkn wanatambua nafasi zao kama wanawake na waume zao wanawaheshimu!
 
au ubabe kama wa makinda unategemea nani atakupa uongozi, yani aisee wanawake we still have a long way to go, kwanza tubadilike sisi

eti mamaafacebook yule spika mjengoni ana mume?
 
Last edited by a moderator:
nyie ndio walezi wetu sasa basi.....
kama sio wewe basi wenzio..uskute apo unamtoto wa kiume ambaye ashawapa mabinti mimba na akawaambia wazichomoe na wakachomoa ,apo tayari mwanamke kanyanyaswa/kadharirishwa....
wewe hukumlea kijanaako ipasavyo kwanini asiende kufanya madudu kwa wanawake wenzio? (Proverb 22:6) "mlee mtoto katika njia impasayo nae hataiacha hata atakapokuwa mzee"
so nyinyi pia ni wahusika katika manyanyaso yenu wenyewe..na tatizo mmezidisha usera buti for good families..wont be..kila ke akajari familia yake kwanza muokoe kizazi kijacho iki mtashindwa
 
C mna kauli mbiu inasema mkiwezeshwa mnaweza sasa malalamiko ya nini c mtulie tuwe tunawawezesha
 
Wanawake waliojitambua wanapata heshima na manufaa katika mfumo uliopo.wanawake wengi tunapenda tupate vyote favour ya uanamke na majukumu hatutaki.
Yaan mwanamke sehemu ya kutoa rushwa ya pesa we unataka utoe ya ngono.wanaosafiri anataka afanye biashara then hotel alipiwe na third party wakati hiyo ni gharama ya biashara.
Vyuoni wanataka walale club wachelewesha assigent then aende kurembua kwa dr au prof akiombwa aseme kanyanyaswa.

Kutwa kupost picha za waume au mabwana zetu na kutukanana bila kupeana habari za fursa.kupenda mafanikio ya haraka sana ,Kutafsiri maisha kama ni kuvaa na gari ata nyumba atujengi.

Kwa kifupi wanaume mmetuendekeza sana mpaka tuna dhani tulikuja duniani kustarehe na kufa.
Mwanamke ukijitambua hakuna ata wa kusogeza hatua moja kwenye shamba au kiwanja chako.
 
Mwanamke hapaswi kushindana na Mwanamume na Mwanamume hapaswi kushindana na Mwanamke.
Go figure....

true ...i think a certain point became wronged but one is traying so solve just other to many points instead of dealing with the only wronged one...it realy will remain without a solution
 
ukiona mtu analalamika kwamba kuna mfumo fulani ujue wanaolalamika ni dhaifu hawana umoja hawajielewi
 
Mmmh!! binafsi mtoa mada naomba niwe tofauti nawe kwa namna fulani. Kwa sasa sehemu kubwa ya mfumo dume imebaki kihisia zaidi. wanawake tumeachiwa tufanye sawa sawa na wanaume, tumesoma shule mchanganyiko na tumefanya mtihani mmoja wa taifa, kazi tunaomba wote mwenye kupata anapata awe me au ke, siasa tupo hutukatazwi ukijua kuuza maneno kauze, kuna sehemu nyingi za kutetea wanawake kama TGNP, USTAWI WA JAMII, chama cha wanasheria wanawake n.k SASA tunataka nini zaidiiiiiiii?????????????

Siku hizi wanawake tunaheshimika hata tupitapo kwa kuwa hata wanaume wanajua wanawake wanauwezo kama wakiamua, kuna wakurugenzi, mameneja wangapi wanawake siku hizi. hapana nafasi tunayo bhana.

Nachelea kusema sina mgogoro na mfumo dume, nimeingia sehemu nyingi ambazo zina wanaume lakini nahudumiwa kwa haki, mimi hicho kibank cha wanawake hata sinaga habari nacho. na uanamke wangu na FIGHT CRDB, NMB, ACB
na nafanikiwa bila hongo hata sh kumi.

SORRY NI MTAZAMO TU.
 
Back
Top Bottom