Nasema Rais Magufuli hawezi kutoka madarakani

Nasema Rais Magufuli hawezi kutoka madarakani

Binafsi sijawahi kuipigia kura ccm tangu nianze kupiga kura mwaka 2000, lakini nasema 2020 akitokea mgombea kuchukua fomu ya kugombea urais anayeweza kumtoa Magufuli madarakani nitampa kura hata kama ni wa ccm, kweli huyu rais hata mwaka mmoja uliobaki naona ni mbali sana
Kuna thread nilianzisha kuelezea umuhimu wa uchaguzi mkuu ujao toka tupate Uhuru kwa mwingereza, lakini sijui ni kwanini ilifutwa?
Maxence Melo
 
Back
Top Bottom